johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 1756.
MV Magogoni kitakarabatiwa kwa Euro 3,043,791 Sawa na Tsh 7.5 billion Mwaka 2023, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 2487.
Gharama za ukarabati wa MV Magogoni ni Sawa na 57.8 tu ya gharama iliyonunuliwa.
Source: Jambo TV
Nawatakia Dominica njema Kesho!
Sasa kilichobadilika ni nini?V Magogoni kitakarabatiwa kwa Euro 3,043,791 Sawa na Tsh 7.5 billion Mwaka 2023, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 2487.
Gharama za ukarabati wa MV Magogoni ni Sawa na 57.8 tu ya gharama iliyonunuliwa.
Uchaguzi unakaribia, lazima tujipange, chama chetu cha Mambuzi hakiwezikushindwa,Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 1756.
MV Magogoni kitakarabatiwa kwa Euro 3,043,791 Sawa na Tsh 7.5 billion Mwaka 2023, exchange rate ikiwa Euro 1 = Tsh 2487.
Gharama za ukarabati wa MV Magogoni ni Sawa na 57.8 tu ya gharama iliyonunuliwa.
Source: Jambo TV
Nawatakia Dominica njema Kesho!
Unajua bei ya kipya?Kwanini msinunue kipya ?
😃Uchaguzi unakaribia, lazima tujipange, chama chetu cha Mambuzi hakiwezikushindwa,
uchaguzi unahitaji pesa,
Siasa ni sayansi bwashee
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Exchange rateSasa kilichobadilika ni nini?
Sijui sh ngapi? Pesa wakikusanya wanaweka wapi so mawakala wa Ccm??Unajua bei ya kipya?
Walamba asali
Haina shida, Kila kitu kinabaki kile kileExchange rate
Enzi za Dr Slaa original pangechimbika!Haina shida, Kila kitu kinabaki kile kile
Sasa hivi CCM waache wabebe mizigo yao wenyewe, majizi yaleEnzi za Dr Slaa original pangechimbika!