TEMESA yafafanua gharama za ukarabati MV Magogoni

Kwann serikali isiongeze hela ili kinunuliwe kivuko kipya? Maana ukichanganya na masurufu ya posho za wahandisi wanaokwenda Kenya kusimamia ubora wa ukarabati itafika bilioni 12.
 

Songoroa ametaka 10+Bilion wakati wa Kenya ametaka 7.5Bilion
 
CAG atakuja kutueleza wakati wake ukifika..!! Time will tell..!!
 
Naungana na Dr mollel. Yaani vijana nchini kwako hawana ajira lakini serikali inapeleka fursa za ajira ugenini! Kampuni zetu za ndani zimekadiriwa Kodi lakini hazipewi kandarasi! Kampuni zetu za ndani zimeajiri wananchi ambao Wana familia na wanalipa Kodi serikalini Ila Cha ajabu wananyimwa kazi na wanapelekewa nchi jirani wakanufaike!
Kwa kauli Ile ya Dr wa meno inastahili taji la dhahabu kwani imejidhihirisha kwa Prof sijui wa nini! Hivi mzee wa piko na panki style ya pimbi hajarejea kutoka tunduma akaliangalie na hili?
Fukuza na weka ndani hao wasiowatakia mema watanzania!
 

Kikisha karabatiwa kitakuwa na uwezo wa kufanya kazi miaka mingapi tena bila kuhitaji marekebisho mengine makubwa?

Je, kikinunuliwa kipya kitakuwa na uwezo wa kufanya kazi miaka mingapi bila kuhitaji ukurabati wa gharama kubwa?
 
Uchaguzi unakaribia, lazima tujipange, chama chetu cha Mambuzi hakiwezikushindwa,
uchaguzi unahitaji pesa,
Siasa ni sayansi bwashee


Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app

Siasa siyo sayansi.
Siasa ni uongo, ulaghai, utapeli, uwizi, dhuruma, you name it.

Sayansi ni vitu vyenye facts hakuna longolongo au ujanjaujanja.

Eti Political Science!!! Makubwa
 
Ushindani kwa njia ya zabuni
 
Dah kweli huu ni ujinga aliousema Dr Molel
 
Pamoja na huo ufafa..nuzi hatukubaliii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…