Bado harufu ya ufisadi haiwezi kuondoka kirahisi. Kwa nini wakakarabati Kenya, na wakati ndani ya nchi yetu tuna kampuni ya wazawa ya Songoro Marines ambao wana uwezo wa kutengeneneza hata kivuko kipya?
Kwa nini viongozi wetu wanakosa uzalendo kwa vitu vidogo kama hivi?
Inawezekana Kama watu walikuwa wanavuka bure tangu hiyo 2008 kilipoletwa hicho kivuko .
Haiwezekani sisi bodaboda unaendesha bodaboda yako Hadi unanunua nyingine Mpya kupitia boda yako ya Mwanzo so ili Jambo linafikirisha upuuzi mtupu na wizi umejaa Tamesa na serikalini kuendesha Biashara ambayo haizai
Hoja ni nyingi, hazijaibwa ikiwa ni pamoja taratibu za manunuzi, kutokuwepo na taarifa ya tangazo la tenda, mnafanya sherehe ya utiaji saini ni matumizi mabaya ya fedha, kilipelekwa jeshi kimerudije na.....kibao.