Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Sawa.ngoja tuoneHamna kitu, amekufa tu kama wanavyokufa watu wengine kwenye boda boda, guest, nyumbani, hospitali n.k
kwanza hawajasema kilichomuua, isije ikawa ni dawa za usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.ngoja tuoneHamna kitu, amekufa tu kama wanavyokufa watu wengine kwenye boda boda, guest, nyumbani, hospitali n.k
kwanza hawajasema kilichomuua, isije ikawa ni dawa za usiku
Huenda ikawa ni fake news ,nigerians news hakuna hii taarifa imeanzia ghana
Acha kejeli kwenye Mambo ya msingi, angalia mdomo wako usikuumbie kitu kibayaKumbe na yeye huwa anakufa?
Alikuwa anafufua wafu na kuombea wenye matatizo na wagonjwa,
Awahi Gwajima akamfufue.
Unawajua aliowaacha kwenye kanisa lake?Pole sana, kama una maji yatumie kwa uangalifu ndio ya Mwisho hayo
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Ha haa aa mfufuaji kafa balaa hii ..Gwajima apande ndege upesiKumbe na yeye huwa anakufa?
Alikuwa anafufua wafu na kuombea wenye matatizo na wagonjwa,
Awahi Gwajima akamfufue.
unatumia tecno, si kwamba imeisha chaji unaenda kuchajisha kwa KOBE?
"maagano na Shetani" ukimaanisha wewe una maagano na shetani na ulitaka kwenda Nigeria ukaombewe na Joshua sasa unasikitika?Niliona hii habari kwa Richard Stephen dogo wa ITV alipost twita kama saa kumi hivi alfajiri nikaona kama chai kumbe kweli.
Maagano na mashetani...umri sio mkubwa sana wa kutisha.
Siyo tetesi, ni hakika!Mpaka sasa hii ishu bado ni tetesi tu. Hakuna taarifa rasmi juu ya kifo.
"maagano na Shetani" ukimaanisha wewe una maagano na shetani na ulitaka kwenda Nigeria ukaombewe na Joshua sasa unasikitika?
Musa alikufaje, na manabii wengine?Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Pidgin hiyo mazee BBC wapo sawa kabisa.
Upo sahihi, Biblia neno la Mungu lipo Wazi:Mkuu mimi ni mmoja wa wanaowapinga sana hao manabii fekero na sina imani nao kwa 100%.
ENDELEA, ONGEZA ALKASUSU NA KASHATA alafu jisomee ujipime.Mzee wangu hapa kwenye kijiwe cha kahawa anaendelea kunipa 'ufunuo' kuhusu TB Joshua.
ananiambia "Dalili za TB Joshua kuchukuliwa na freemasonry ni hii, amefariki tarehe 6 mwezi wa 6 na amebakiza siku 6 kutimiza miaka 58. Kwa hiyo dalili za jamaa kuwa alikuwa mwanachama wa freemason ni huo mfululizo wa 666 ambayo ni namba ya mpinga Kristo"
Sijamuamini mzee huyu hapa kijiweni ila naendelea kutafakari sana kuhusu haya maneno yake.
Vipi GT wa jf mna la kuchangia?