Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

So buda umekaa kwenye luninga ukisubiri uone hiyo habari na ukishaiona ndio inakuwaje labda? Khaaa!
wewe unafanya nini hapa? si unatafuta news? TB Joshua ni influential figure, a sensible man can not deny this!
 
Kama hakuna sababu rasmi ya kifo chake basi ndo nitaamini kuwa ule msemo wa "wachungaji wengi wanajificha kwenye nguvu za giza kutuaminisha kuwa wana maono"
Huwa unasoma Biblia rafiki?

Kama NDIYO, natumai unamfahamu mtume maarufu na mtumishi wa Yehova Musa [Moses] na mwandishi wa vitabu vitano vya kwanza (Agano la Kale) yaani;

å Mwanzo,
å Kutoka
å Mambo ya Walawi
å Hesabu na
å Kumbukumbu la torati/sheria

Unajua alikufaje na kwa sababu gani alikufa kifo cha namna ile?

Alifufa kifo ambacho hakuna aliyejua amekufa kufaje na mpaka leo kaburi lake halipo...!

Je, kwa sababu hii tu tunaweza kumhoji namna Mungu anavyotenda kazi yake kweli? Hapana. Ni makosa. Mungu ni Mungu na atabaki kuwa Mungu...

Soma KUMBUKUMBU LA TORATI 34: 5 - 7 kuthibitisha hili. Na ukipenda kutaka kujua zaidi, I some sura yote hiyo ya 34 utapata picha nzuri zaidi..

Sababu ya hili ni hii;

Kwamba, Mungu aliamua amwondoe kwa njia hiyo yeye mwenyewe na kuficha kaburi lake kwa sababu kwa namna Wa - Israel walivyokuwa wanamwamini Musa, basi laiti kama angekufa na kuzikwa na wao wenyewe (Israel), kulikuwa na hatati kumwacha Mungu na wangeanza kuabudu mpaka kaburi lake Musa...!!

Kuwakoa na kuepusha hili, Mungu alimwondoa kwa njia hiyo na kuwaficha mahali alipomzika mpaka leo...

Mpaka leo wapo watumishi wa Mungu ambao Mungu huwatendea kama alivyofanya kwa Musa, Henoko, Eliya na wengine mara baada kukamilisha kusudi lake la kuwaleta duniani...

Sasa sisi, hatuwezi kumuuliza Mungu kwanini unafanya vile. Yeye ni Mungu Yehova. Hufanya kila jambo jinsi anavyotaka yeye na si vile tunavyotaka sisi...

Tuepuke assumptions zinazoweza kutuweka hatiani na Mungu wetu...
 
Nabii wa nigeria kapaishwa kama elia au mwendo ni ule ule


Na Lowasa ana semaje kuhusu ili
 
nduza
 
wewe unafanya nini hapa? si unatafuta news? TB Joshua ni influential figure, a sensible man can not deny this!
He was my mentor kuhusu habari za Mungu he inspired me sanaa.

Lakini ni ujinga kukaa kwenye tv tena international ones eti ukisubiri watangaze habari za mtumishi wa bwana.
Hii ni sawa na wakati Magufuli amevuta kamba unaenda kwenye ukurasa wa Chancellor wa Germany au Buckingham palace kuona kama wame-post au la.

Ni mtazamo
 
Mungu fundi.
Hi miaka miwili kaisafisha dunia mpaka raha.
Safisha baba.
Hata huyu msoma post hii kama anaichafua dunia msafishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…