Basi coverage very minimal... Vitu kama hivi kwa watu mashuhuri huwa mashirika haya yanatangaza sana, habari zinajirudia rudia mpaka zinakera. Nilitegemea kitu kama hicho kwa TB Joshua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi coverage very minimal... Vitu kama hivi kwa watu mashuhuri huwa mashirika haya yanatangaza sana, habari zinajirudia rudia mpaka zinakera. Nilitegemea kitu kama hicho kwa TB Joshua!
wewe unafanya nini hapa? si unatafuta news? TB Joshua ni influential figure, a sensible man can not deny this!So buda umekaa kwenye luninga ukisubiri uone hiyo habari na ukishaiona ndio inakuwaje labda? Khaaa!
Huwa unasoma Biblia rafiki?Kama hakuna sababu rasmi ya kifo chake basi ndo nitaamini kuwa ule msemo wa "wachungaji wengi wanajificha kwenye nguvu za giza kutuaminisha kuwa wana maono"
Kabisa mkuuKaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
nduzaView attachment 1809923
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57
Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos
Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel.
Pia soma;
1). Nabii TB Joshua awasili nchini, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli
View attachment 1809833
=====
BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world.
![]()
Temitope Balogun Joshua, a frontline Nigerian preacher and televangelist, has died, family sources told Peoples Gazette.
Mr Joshua, the founder of The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN), died in Lagos on Saturday evening shortly after concluding a programme at his church, The Gazette learnt from family sources who did not want to be quoted as an official statement was still being prepared. He was 57.
The cause of death was not immediately disclosed to The Gazette, but family sources said his remains had been deposited at the morgue and an autopsy would be performed forthwith.
Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world. Emmanuel TV, run by Mr Joshua’s SCOAN, is one of Nigeria’s largest Christian broadcast stations, available worldwide via digital and terrestrial switches.
In 2014, his church was at the centre of a multi-national investigation following a section of his church headquarters in Lagos collapsed, leaving dozens killed and many more injured.
Mr Joshua denied allegations of negligence and a trial over the incident was still underway prior to his demise.
Source: BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead - Peoples Gazette
He was my mentor kuhusu habari za Mungu he inspired me sanaa.wewe unafanya nini hapa? si unatafuta news? TB Joshua ni influential figure, a sensible man can not deny this!
Mwambie huyooAmkuu mbona unapotosha ,hebu tuambie ni wapi katika maandiko imeandikwa watumishi wa mungu kamwe hatakufa ghafla,Tena nikuambie vifo vya watu wa mungu huwa havina mlolongo mrefu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani kama nyie waafrika mnaamini maigizo ya mtume T.B Joshua basi na wenzenu wazungu wanaamini hayo maujinga?
Akifa ww unaongezeka nini Labda 🤷🏼♀️Aisee bado buludoza.