Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Kwa kadri ya kumbukumbu zangu Mh Mbowe anakuwa Kiongozi wa kwanza wa ngazi ya juu wa kisiasa Nchini Tanzania kuguswa moja kwa moja na Msiba wa Nabii wa Kiafrica TB JOSHUA .

KWA FAIDA YA WANAJF NA WADAU WENGINE : Pamoja na yote yanayosemwa kuhusiana na unabii wa TB JOSHUA lakini huyu ni miongoni mwa watu mashuhuri waliosaidia kuirudisha amani ya Tanzania kwenye mstari wake kutokana na Ushawishi alionao kwa jamii BAADA YA CHADEMA KUIBIWA KURA wazi wazi kwenye uchaguzi Mkuu wa 2015 .

Hivi ndivyo alivyoandika .

View attachment 1811283
Kujisifia eti uliombewa na Joshua ni failure ya thinking. That is too personalized ignorance. That's the same grouping as of those in front of the wishes! Miracles mpaka lini wapuuzi nyie?
 
Tuliosoma tuna tabia ya kupanic ukiona mtu anayeaminiwa na umati kama Mbowe, anajivunia udhaifu wake. Hii ni enzi ya kujadili mambo ya relativistic energy. Si ni huyu muliyekuwa munasema tuvushe! Awavushe kwa sara na Joshua?
 
Tuliosoma tuna tabia ya kupanic ukiona mtu anayeaminiwa na umati kama Mbowe, anajivunia udhaifu wake. Hii ni enzi ya kujadili mambo ya relativistic energy. Si ni huyu muliyekuwa munasema tuvushe! Awavushe kwa sara na Joshua?
una msongo mkubwa sana kichwani mwako , kuna tatizo gani kuombewa dua njema ?
 
Angalia kwanza BBC Africa na i24+ Israel chanel. mimi huko kote sijaona kitu, hii habari usikute ni vanity of vanity!!!!
Hii habari ni kweli, hata Emmanuel TV inaonyeshwa kila baada ya muda, nimeiona pia kwenye vyombo vikubwa vyote vya habari
 
Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Kafa ghafla au sisi tusiomjua ndio tumepata taarifa kama breaking news?

Huenda hata alipata wasaa wa kuiaga familia, watu wake wa karibu n.k
 
View attachment 1810900
Wanangu wana jamvi,
Kifo cha tapeli mkubwa mwenye roho mtakakitu TB Joshua si habari mpya tena. Hata hivyo, kina funzo hasa kwa matapeli wanaomuuza Yesu wasijue kuna mwisho. Jamaa alijirundikia ukwasi asijue atakufa kijana hata kabla ya kuufaidi.

Sijui akina Gamanywa, Gwajima, Kakobe, Mzee wa Upako, Mwingila na wengine wengi wanajifunza nini? Je wachovu na wajinga wataendelea kuwatajirisha matapeli wakijidanganya kuwa sala na si kuchapa kazi vinaweza kuwakomboa?

Je wapumbavu wanaoamini manabii wa uongo watapata somo hapa? Naomba kuleta hoja tekenyeshi wanangu.
Watch your tongue brother....
 
una msongo mkubwa sana kichwani mwako , kuna tatizo gani kuombewa dua njema ?
Tatizo hulioni? Mwambie wasomi tunaona tatizo ktk tweet yake. Ameiandika kwa furaha na raha utadhani ni habari njema kwa kila mtu. Imani kama hizo ndo zinatuangusha kila leo; Corona ituogope, mvua inyeshe, nzige watuogope, n.k. Hatimaye tuombe na upuuzi gani sijui!
 
Wakati mwingine Mkuu kama huna hoja kaa kimya. Unavyofanya na kuandika unajiaibisha.

pass on

phrasal verb of pass

  1. EUPHEMISTIC
    die.
    "his wife passed on twelve years ago"
Umemlaani badala ya kuelimisha lakini naamini hata wewe hukuwa na elimu ya tofauti ya maneno hayo mawili. Mimi nimemueleza na yamekwisha.
 
Watch your tongue brother....
Usiwe mwoga wa kusema ukweli. Makanisha yenye doctrine za kutungwa na mtu mmoja ni tatizo. Nina hakika woga wako unaamini Joshua pamoja na kufariki anakuona na unaogopa kupata matatizo.
 
Back
Top Bottom