Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Kwani huyu jamaa alikuwa anafufua wafu inakuwaje yeye kashindwa kujifufua au akaambiwa Gwaji boy akamfufua au waumini wake hawamtaki tena
Jifikirie wewe utakufaje...mwenzako amemaliza safari yako.
Jiulize wewe utafia wapi.
 
View attachment 1809923

Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57

Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos

Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel.

Pia soma;
1). Nabii TB Joshua awasili nchini, Afanya Mazungumzo na Kikwete, Lowassa na Magufuli

View attachment 1809833
=====

BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead​

Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world.

TB-Joshua-1-e1622936784844.jpeg


Temitope Balogun Joshua, a frontline Nigerian preacher and televangelist, has died, family sources told Peoples Gazette.

Mr Joshua, the founder of The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN), died in Lagos on Saturday evening shortly after concluding a programme at his church, The Gazette learnt from family sources who did not want to be quoted as an official statement was still being prepared. He was 57.

The cause of death was not immediately disclosed to The Gazette, but family sources said his remains had been deposited at the morgue and an autopsy would be performed forthwith.

Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world. Emmanuel TV, run by Mr Joshua’s SCOAN, is one of Nigeria’s largest Christian broadcast stations, available worldwide via digital and terrestrial switches.

In 2014, his church was at the centre of a multi-national investigation following a section of his church headquarters in Lagos collapsed, leaving dozens killed and many more injured.

Mr Joshua denied allegations of negligence and a trial over the incident was still underway prior to his demise.

Source: BREAKING: Prophet T.B. Joshua is dead - Peoples Gazette
APUMZIKE KWA AMANI MTUMISHI WA MUNGU
 
Uyu mzee ndo ali mdanganya bwana lowasa 2015[emoji23][emoji23][emoji23]
 
alitoka kuhubiri neno la mungu baada ya hapo akafa....what wonderful death[emoji24][emoji24][emoji24]kifo kizuri sana hicho mwisho wake umekua nzuri sana.......wengine wanafia bar na guest lakini yeye amekufa katika njia ya kuhubiri neno la mungu[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Sasa waumini wake wataongozwa na nani,ama ndio waumini wake watahama kanisa...
Mt 26:31

Ndipo Yesu akawaambia. Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa imeandikwa. Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.
 
Waweza nisaidia Andiko thibitishi?
Malaki 2: 3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya sadaka zenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo

4 Nanyi mtajua ya kuwa mimi nimewapelekeeni amri hii, ili agano langu liwe na Lawi, asema BWANA wa majeshi.
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu Mh Mbowe anakuwa Kiongozi wa kwanza wa ngazi ya juu wa kisiasa Nchini Tanzania kuguswa moja kwa moja na Msiba wa Nabii wa Kiafrica TB JOSHUA .

KWA FAIDA YA WANAJF NA WADAU WENGINE : Pamoja na yote yanayosemwa kuhusiana na unabii wa TB JOSHUA lakini huyu ni miongoni mwa watu mashuhuri waliosaidia kuirudisha amani ya Tanzania kwenye mstari wake kutokana na Ushawishi alionao kwa jamii BAADA YA CHADEMA KUIBIWA KURA wazi wazi kwenye uchaguzi Mkuu wa 2015 .

Hivi ndivyo alivyoandika .

Instagram_post_by_Chadema_kaskazini_•_Jun_7,_2021_at_8:44am_UTC%22_.jpg
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu Mh Mbowe anakuwa Kiongozi wa kwanza wa ngazi ya juu wa kisiasa Nchini Tanzania kuguswa moja kwa moja na Msiba wa Nabii wa Kiafrica TB JOSHUA...
Ujinga tu! Amechangia nini ktk kuiendeleza CHADEMA au Tanzania? Watu wanakubuhu kwa utapeli, wakifa wanasifiwa. Superstitious leaders!
 
Back
Top Bottom