Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko serious mkuu,Anaendelea na shughuli zake kama kawaida na tena anawasalimia sana.!
Ndio binadamu hawa waliopo dunianiHata Yesu walimkejeri hivyohivyo unavyomkejeri Prophet TB Joshua! Huna jipya! Pumzika kwa amani TB Joshua mtumishi wa Mungu Aliyehai!
Sasa waumini wake wataongozwa na nani,ama ndio waumini wake watahama kanisa..........
Usiongee kitu usichokijua weweHilo ni tatizo la taasisi nyingi za Afrika. Iwe kampuni au kitu kingine, mara nyingi akifa muanzilishi. Kinachofuata ni kifo cha vitu alivyovianzisha. Iwe biashara, au kitu kingine chochote.
The World is not gone, and will never....Sina hata cha kusema, i feel like the world is gone[emoji24][emoji24][emoji24] Mungu atuinulie TB Joshua mwingine wa kizazi hiki
Thank you[emoji120], upo sahihi kabisaThe World is not gone, and will never....
Hata Yesu alipokuwa anapaa mbinguni aliwapa mamlaka mitume na ndio maana wengine wakawepo hata baada ya mitume 12....
Still tuna mitume wenye maono na wanaoliongoza kanisa vyema.
Note that:
Usiongee kitu usichokijua wewe
Tb Joshua ana manabii na evangelists kibao aliowakuza na hata alipokua akisafiri anawaachia na kila kitu kinaenda sawa
Lile kanisa halitaanguka kabisa
Ni kama bakhressa alivyowashape wanae.usitarajie kamwe anguko
Kafa tu bila hata kuumwaHabari zilizopo ni kwamba mchungaji maalufu TB JOSHUA kafariki siku ya leo baada ya kutoka kuubili kanisani kwake. Kazi ya mungu haina makosaView attachment 1810250
Hehehehe[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]unatumia tecno, si kwamba imeisha chaji unaenda kuchajisha kwa KOBE?
Ghafla asee[emoji848][emoji22]Niliona hii habari kwa Richard Stephen dogo wa ITV alipost twita kama saa kumi hivi alfajiri nikaona kama chai kumbe kweli.
Maagano na mashetani...umri sio mkubwa sana wa kutisha.
Kwahiyo kufufua watu ilikuwa zuga tu kama gwajiboyNdio mambo ya maagano yanavyokuwa.
Kwahiyo kufufua watu ilikuwa zuga tu kama gwajiboy
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
aisee wanaleta furugu watu wa iPhoneHehehehe[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
Wakuu mniache na tecno yangu jomoni[emoji22][emoji22][emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Halafu wameng'ang'ania remote za watoto wa shemeji haaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waweza nisaidia Andiko thibitishi?Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla