Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Kujisifia eti uliombewa na Joshua ni failure ya thinking. That is too personalized ignorance. That's the same grouping as of those in front of the wishes! Miracles mpaka lini wapuuzi nyie?
 
Tuliosoma tuna tabia ya kupanic ukiona mtu anayeaminiwa na umati kama Mbowe, anajivunia udhaifu wake. Hii ni enzi ya kujadili mambo ya relativistic energy. Si ni huyu muliyekuwa munasema tuvushe! Awavushe kwa sara na Joshua?
 
Tuliosoma tuna tabia ya kupanic ukiona mtu anayeaminiwa na umati kama Mbowe, anajivunia udhaifu wake. Hii ni enzi ya kujadili mambo ya relativistic energy. Si ni huyu muliyekuwa munasema tuvushe! Awavushe kwa sara na Joshua?
una msongo mkubwa sana kichwani mwako , kuna tatizo gani kuombewa dua njema ?
 
Angalia kwanza BBC Africa na i24+ Israel chanel. mimi huko kote sijaona kitu, hii habari usikute ni vanity of vanity!!!!
Hii habari ni kweli, hata Emmanuel TV inaonyeshwa kila baada ya muda, nimeiona pia kwenye vyombo vikubwa vyote vya habari
 
Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Kafa ghafla au sisi tusiomjua ndio tumepata taarifa kama breaking news?

Huenda hata alipata wasaa wa kuiaga familia, watu wake wa karibu n.k
 
Watch your tongue brother....
 
una msongo mkubwa sana kichwani mwako , kuna tatizo gani kuombewa dua njema ?
Tatizo hulioni? Mwambie wasomi tunaona tatizo ktk tweet yake. Ameiandika kwa furaha na raha utadhani ni habari njema kwa kila mtu. Imani kama hizo ndo zinatuangusha kila leo; Corona ituogope, mvua inyeshe, nzige watuogope, n.k. Hatimaye tuombe na upuuzi gani sijui!
 
Wakati mwingine Mkuu kama huna hoja kaa kimya. Unavyofanya na kuandika unajiaibisha.

pass on

phrasal verb of pass

  1. EUPHEMISTIC
    die.
    "his wife passed on twelve years ago"
Umemlaani badala ya kuelimisha lakini naamini hata wewe hukuwa na elimu ya tofauti ya maneno hayo mawili. Mimi nimemueleza na yamekwisha.
 
Watch your tongue brother....
Usiwe mwoga wa kusema ukweli. Makanisha yenye doctrine za kutungwa na mtu mmoja ni tatizo. Nina hakika woga wako unaamini Joshua pamoja na kufariki anakuona na unaogopa kupata matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…