Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Nimegoogle na kupata taarifa hizi


 
Mungu amuhifadhi anapostahili.

Kifo ni ukumbusho wa utukufu wa matendo makuu ya Mungu.

Mwanadamu hapaswi kuishi kwa kukiogopa kifo bali anapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo( kwa wanaoamini)

Tuishi kwa wema ili tutakapo nyakuliwa waliobakia wawe mashahidi wa matendo yetu kwani hakuna ajuaye saa ya yeye kunyakuliwa.

Kila njia ya mtu ni sawa machoni mwake mwenyewe lakini bwana hutazama mioyo.

Mungu atujaalie mwisho mwema.
 
Kila mmoja atakufa, uwe Mchungaji, uwe sheki, uwe Rais, uwe waziri uwe mbunge, uwe kiongozi yeyote kamwe huwezi kukwepa kifo.
kila mmoja lazima atakabiliana na Kifo tu.

Kifo ndio mwisho wa JEURI ya BINAADAMU.
apumzike kwa amani.
 

Rest well Temitope Balogun Joshua

Mwendo umeumaliza🙏
 
Chanzo cha kifo chake tafadhali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…