Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

Ama na yeye anataguta "kiki"?
 
Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
Amkuu mbona unapotosha ,hebu tuambie ni wapi katika maandiko imeandikwa watumishi wa mungu kamwe hawatakufa ghafla,Tena nikuambie vifo vya watu wa mungu huwa havina mlolongo mrefu sijui mtu auguzwe mwezi /mwaka huku akiwatesa wahudumu wake.Big No ,Hawa hutoka kama walikuwepo tu.

Kila Mara namuomba Mungu anijaalie kifo kisicho na complications za kuwatesa watu wangu wa karibu,
 
Taarifa kwenye mitandao ni kwamba Mhubiri huyu amefariki. Pumzika kwa Amani mkwe wetu wa Tanzania
 
Kuna taarifa kuwa huyu mkwe wa Tanzania hatunae tena

IMG-20210606-WA0016.jpg
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram imethibitishwa Mtumishi wa Mungu maarufu Afrika Tb Joshua amefariki, Mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijatolewa.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi[emoji1545][emoji1545]
IMG_9287.jpg

IMG_9286.png
 
Back
Top Bottom