Ten of the Deadliest Martial Arts Styles in the World- Don't try this at Home

24 hii ya Mwanga kigoma au
kijana kijanaa.....
 
vipi wazee wa ngumi cherehani
mabondia
wao mbona hujawataja??
je nimchezo laini usio na madharaa??
 
Taichi mbona hapo haipo?

BTW japan iko vixuri sana kwenye utumiaji wa panga lakini swala la mkono sioni wakum-replace mchina
 

Mungu wangu! Hio kambi iko wapi ndugu?
 
Kabisa mkuu

Kwenye kung fu hapo kuna vipengele vingi sana hadi WU-SHU inaingia hapo
 
Ukimaster Teke Moja Tuu la Taekwondo na Ukalimudu vema Hilo Teke Ni silaha Tosha. Unajazilizia na Ngumi Moja Tuu Bhaaas.

Nimefundishwa Kupiga Ngumi Moja au Teke Moja na Kumaliza Mchezo.

Taekwondo my Kung Fu
 
Mkuu hivi mtu anaposema ana DONE tano huwa anamaanisha nini chief...? Au neno DONE lina maana gani kwenye huo mchezo kaka...?
Katika Taekwondo baada ya Black Belt zinaanza Dan ambazo kuzipata Ni Muda ambao upo active baada ya kupata Black Belt, Kucheza Forms "Poomsae" nyingi zaidi na kumaster Taekwondo Philosophy.
 


✌🏻✌🏻
 


Umesahau JEET KUNE DO ya Bruce lee:-

 
Safi sana i wish ningekuwepo nione huo mtaange ..huwaga nafurahi nikisikia mwanajeshi kapigwa ..huwa wanaoneaga sana watu sometimes
 
Hata wewe hujui kitu... michezo ni ileile ila tofauti ni eneo mfano China, Japan, Thailand nk.

Tena kile kilichozidi kufanyika/ kutumiwa ndo kinaleta utofauti zaidi mfano Thailand wanatumia sana kushambulia kwa vifuti na vigoti ndo wakaita muay thai haimaanishi kwamba kwenye karate Wajapan hawatumii vifuti laa!

Michezo ni ileile ila tofauti ni kwamba kila watu wanajikita zaidi na style fulani tu kama ilivyo kwenye kusoma kuna aliyejikita kwenye sheria utabibu ufamasia ujenzi nk

Hii ya kusema fulani hawawezi hiki au kile wao ni kitu fulani tu nakataa kwasababu ndani ya mchezo fulani utakuta kuna style zinazofanania na mchezo mwingine

Kwa mfano ukichukulia kung-fu utakuta ndani yake kuna style za ki muay thai, karate, tae kwon-do nk

Binafsi napenda sana kung-fu na hata nilivyofuatilia nimeona ndo ina style nyingi sana
 
Kwani ule mtama mchomvu aliompiga mbasha upo kwenye style gani?
 
Ukimaster Teke Moja Tuu la Taekwondo na Ukalimudu vema Hilo Teke Ni silaha Tosha. Unajazilizia na Ngumi Moja Tuu Bhaaas.

Nimefundishwa Kupiga Ngumi Moja au Teke Moja na Kumaliza Mchezo.

Taekwondo my Kung Fu
Hivi Taekwondo ya Korea Kusini na ya Kaskazini ina tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…