Ipo inaitwa vuguvugu ni kurusha mangumi ovyo ovyo bila mpangilio tafuta filamu ya ong bak kuna mahali muafrika alionyesha style zetu za mapigo nusura ong bak akaeKwamba Afrika haina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo inaitwa vuguvugu ni kurusha mangumi ovyo ovyo bila mpangilio tafuta filamu ya ong bak kuna mahali muafrika alionyesha style zetu za mapigo nusura ong bak akaeKwamba Afrika haina
Ebu nipe jina la uyo dogo mpya na jina la movie alioigiza maana movie ni nying siku hz mpaka keroMuda wake umeisha wathai wengi huanza kama stuntmen kwenye movie za hollywood, kabla ya kuwa ma actor, ila kuna dogo keshachukua nafasi yake sasa.
Ila yale mapigo nayakubari yani unaona kabisa energy hata mtu akirushwa unasema alistahili, siyo yale ya kichina eti mtu asukumwa na upepo wa ngumu. WTF
Mara ya mwisho toni jaa nilimuona kwenye movie akaigiza na wakina the rock, ya kibwege bwege kama fast and furious inakoelekea sijui walikuwa wanatafuta kifaa cha kucontrol satelite.Ebu nipe jina la uyo dogo mpya na jina la movie alioigiza maana movie ni nying siku hz mpaka kero
Kuhusu swala la kuigiza mapigo hawa akina Don yen cjui IP Man Wanaharibu movie wamekosa ubunifu km aliofanya toni jaa kipind anachipukia alikuwa anatoa doz mpaka mtu unahic upo ndan movie maana ni mkong'oto ulioenda shule
Mara ya mwisho toni jaa nilimuona kwenye movie akaigiza na wakina the rock, ya kibwege bwege kama fast and furious inakoelekea sijui walikuwa wanatafuta kifaa cha kucontrol satelite.
Movie za mwanzo zilikuwa tamu sana. Mimi hong bak 2 naipenda sana mpaka leo kwanza mimi napenda movie ambayo actor hacheki mwanzo mwisho, na kwenye hong bak jamaa alikuwa serious hacheki.
Ngoja niziafute, nisizicheki maana nishachoshwa na movie zenye mapigo ya uongo uongo mwingiJamaa mwingine anaekuja vizuri ni Iko iwais kwenye movie zake kama merantau warrior, the raid 1 $ 2, the night come to us, mile22, headshot na kuna moja yupo na yayan rihian ina mapigano mazuri saana
Mimi ni mwananchi mnyonge tu naeishi kwa kutegemea kilimo cha nyanya mwambao wa ufukwe wa burega beach tu sina ujuzi wowote zaidi ya kulimaNajua hutaki kuonekana bwana mkubwa ila we ni hatari sana.
Ngoja niziafute, nisizicheki maana nishachoshwa na movie zenye mapigo ya uongo uongo mwingi
Hii Aikido haijaelezewa hapa ingawa upigaji wake ni among of deadliest fightng style.Steven Seagal ninachofahamu mimi amejikita zaidi kwenye Aikido.
HammazAliyeiandika hiyo article naye hajui alichokiwasilisha. Itakuwa anaangalia sana movie. Karate namba 1 mbele ya Kung fu wakati mizizi ya karate imetokea kwenye Kung fu!
Halafu kung fu ni mjumuisho wa style nyingi mno ikiwemo Wing Chun ya master Yip Man ambayo wengi wao wanaizungumzia humu.
Taekwondo ni wazee wa mateke tu hawana lolote. Ninjutsu hawajui ngumi sana wanajua kutumia silaha kwa sana tu.
Ila ukitaka uwe mzuri uchanganye hii michezo.
Jamaa kakutana na wale vijana tuu weupeHammaz
Kumbe uko viZuri namna hi?
Karate -goju Ryu-Japan
-shotokan
Kung fu- sholin-China
-wushu
Systema-Russia
Sambo-Russia
Krav Maga - Israel
Samurai-japan Hawa wanatumia sime
Hawa inadhaniwa ndio kiboko ya Ninjas.
Kisiwa Cha Okinawa ndiko inafanyika karate ya nguvu sana kwa Japan.
Nadhani Unajuakuwa Kuna Sport na Combat martial Arts.
Huyo jamaa anedai kupiga wanajeshi nadhani alipiga wanajeshi wa kawaida.
Angekutana na Commando pengine leo angekua mlemavu au Marehemu.
Kwa sababu commando wanafanya combat ,na wanajeshi wengine
Hawana mafunzo ya martial arts.
Ila wapo baadhi kwa juhudi binafsi wanajifunza.
Kwa hiyo jamaa asijichanganye kwa commandos.
Judoka...Ule upigaji wa Steven Seagar ni style gani mkuu?
Wazo lako kama langu.Mimi napenda yale mapigo ya hong bak 2 sijui ni taekwondo au thai martial arts au nini ile, jamaa anapiga mapigo unaona energy ndani ya kila pigo.
Yale ningekuwa ninayaweza ningeenda pale lugalo nikojoe kwenye ile bustani wazee wa mabaka waje kunidunda nitandike kambi nzima.
Teh teh teh 😂😂..umetishaMimi napenda yale mapigo ya hong bak 2 sijui ni taekwondo au thai martial arts au nini ile, jamaa anapiga mapigo unaona energy ndani ya kila pigo.
Yale ningekuwa ninayaweza ningeenda pale lugalo nikojoe kwenye ile bustani wazee wa mabaka waje kunidunda nitandike kambi nzima.