Ten of the Deadliest Martial Arts Styles in the World- Don't try this at Home

Ten of the Deadliest Martial Arts Styles in the World- Don't try this at Home

When It started Korea was 1.
Zimetengana kwa muda mrefu.

Nauliza hivi kwa sababu nilikutana na jamaa yeye ni mwana Taekwondo! Hatamki Taekwondo tu bali anasema ni Taekwondo ya Korea ya Kaskazini. Sikupata muda wa kuzungumza naye kwa sababu ulikuwa ni mjumuiko wa watu wengi.

Maadamu mwana Taekwondo upo ndiyo maana nikauliza Je, kuna utofauti wa aina wowote?
 
Yani siku nikisema narudi kwenye martial arts the only mchezo nitajifunza ni shaolin Kung fu nimeshindwa sana basi tai chi. Usiombe ukutane na shaolin kafundishwa na real master wa shaolin
 
Yani siku nikisema narudi kwenye martial arts the only mchezo nitajifunza ni shaolin Kung fu nimeshindwa sana basi tai chi. Usiombe ukutane na shaolin kafundishwa na real master wa shaolin
Mkuu hii michezo yote ni mizuri kama unapenda martial arts, na kinachomfanya mtu ana kuwa mzuri katika style yake ni "seriousness" bidii... Choice ya style ni nzuri lakini mzuri zaidi ni mchezaji.... NAZUNGUMZA KUTOKA KATIKA EXPERIENCE YANGU NIMECHEZA NA NINA RANK YA JUU TU.... 😳
 
Katika Taekwondo baada ya Black Belt zinaanza Dan ambazo kuzipata Ni Muda ambao upo active baada ya kupata Black Belt, Kucheza Forms "Poomsae" nyingi zaidi na kumaster Taekwondo Philosophy.

Oooh Owkay kwa hiyo kupata DAN moja inachukua muda gani au baada ya mazoezi gani kuyapitia ndio unapata DAN moja baada ya nyingine...?
 
Aliyeiandika hiyo article naye hajui alichokiwasilisha. Itakuwa anaangalia sana movie. Karate namba 1 mbele ya Kung fu wakati mizizi ya karate imetokea kwenye Kung fu!

Halafu kung fu ni mjumuisho wa style nyingi mno ikiwemo Wing Chun ya master Yip Man ambayo wengi wao wanaizungumzia humu.

Taekwondo ni wazee wa mateke tu hawana lolote. Ninjutsu hawajui ngumi sana wanajua kutumia silaha kwa sana tu.

Ila ukitaka uwe mzuri uchanganye hii michezo.
Ule upigaji wa Steven Seagar ni style gani mkuu?
 
Mi nayakubali yale ya Jack Chain enzi anacheza movie za kijijini na wale wazee wenye mandevu na manyusi meupe marefu
 
Aliyeiandika hiyo article naye hajui alichokiwasilisha. Itakuwa anaangalia sana movie. Karate namba 1 mbele ya Kung fu wakati mizizi ya karate imetokea kwenye Kung fu!

Halafu kung fu ni mjumuisho wa style nyingi mno ikiwemo Wing Chun ya master Yip Man ambayo wengi wao wanaizungumzia humu.

Taekwondo ni wazee wa mateke tu hawana lolote. Ninjutsu hawajui ngumi sana wanajua kutumia silaha kwa sana tu.

Ila ukitaka uwe mzuri uchanganye hii michezo.
na nimeshangaa michezo ya hatari kabisa kama sambo kali na Systema haiko kwenye orodha ya top ten
 
Safi sana i wish ningekuwepo nione huo mtaange ..huwaga nafurahi nikisikia mwanajeshi kapigwa ..huwa wanaoneaga sana watu sometimes
Mimeshapigana na wamajeshi mara 48
38 nashinda
9 tunatoka droo
1 hii ndio ilikuwa funga kazi nakumbuka mpaka mkuu wa wilaya wa kigoma mwaka huo simba kalia iliingilia kusuruhisha huo mtanange
 
Mimeshapigana na wamajeshi mara 48
38 nashinda
9 tunatoka droo
1 hii ndio ilikuwa funga kazi nakumbuka mpaka mkuu wa wilaya wa kigoma mwaka huo simba kalia iliingilia kusuruhisha huo mtanange
Hahahaha!

Unanikumubusha jamaa mmoja hostel watu walikuwa wanamchukulia poa! Kuna siku walimtibua zaidi jamaa si akafunguka bhana! Aliwachakaza! Majamaa wakaenda kuita rafiki zao FFU, nao akawachakaza!

Mkuu wa kituo akagundua askari zake wamekula dozi kwa raia. Akawaambia adhebu yenu awe mwalimu wenu. Jamaa akawa anakuja kuchukuliwa na kurudishwa kwa ajili ya kuwafundisha.
 
Safi huyo mtu anastahili tuzo

Mimi mpaka wanajeshi wa 24 kj hawana mchezo na mali zangu na kubwa zaidi wananilipa vijisenti kadhaa ili nisitoe ujuzi wangu kwa raia siunajua waha walivyo wajuaji na wabishi[emoji28]
 
Kabisa mkuu

Kwenye kung fu hapo kuna vipengele vingi sana hadi WU-SHU inaingia hapo
Mfano Shorinji (Shaolin) Kempo asili yake ni Shaolin Kung fu kutoka China.
 
Safi huyo mtu anastahili tuzo

Mimi mpaka wanajeshi wa 24 kj hawana mchezo na mali zangu na kubwa zaidi wananilipa vijisenti kadhaa ili nisitoe ujuzi wangu kwa raia siunajua waha walivyo wajuaji na wabishi[emoji28]
Wewe ni Sensei?
 
Mimi napenda yale mapigo ya hong bak 2 sijui ni taekwondo au thai martial arts au nini ile, jamaa anapiga mapigo unaona energy ndani ya kila pigo.
Yale ningekuwa ninayaweza ningeenda pale lugalo nikojoe kwenye ile bustani wazee wa mabaka waje kunidunda nitandike kambi nzima.
Imetajwa hapo Muay Thai - Thailand
jamaa namkubal yule ong bak jina lake halis ni toni jaa !! Ong bak ni jina la movie jamaa anatandika kijiji kizima mpaka wakamletea jini mtu licha ya kumchana na mikucha na kumpiga lkn walipokuja wanzangu na mm waje wammalizie aliinuka kwa nguvu na kuanza kutembeza kichapo tena

Siku hz hasikiki sn tatizo badala atoe movie zake anashirikishwa ivo jina linaanza kupotea
 
Muda wake umeisha wathai wengi huanza kama stuntmen kwenye movie za hollywood, kabla ya kuwa ma actor, ila kuna dogo keshachukua nafasi yake sasa.
Ila yale mapigo nayakubari yani unaona kabisa energy hata mtu akirushwa unasema alistahili, siyo yale ya kichina eti mtu asukumwa na upepo wa ngumu. WTF
 
Back
Top Bottom