Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Zimetengana kwa muda mrefu.When It started Korea was 1.
Nauliza hivi kwa sababu nilikutana na jamaa yeye ni mwana Taekwondo! Hatamki Taekwondo tu bali anasema ni Taekwondo ya Korea ya Kaskazini. Sikupata muda wa kuzungumza naye kwa sababu ulikuwa ni mjumuiko wa watu wengi.
Maadamu mwana Taekwondo upo ndiyo maana nikauliza Je, kuna utofauti wa aina wowote?