Ten of the Deadliest Martial Arts Styles in the World- Don't try this at Home

Ebu nipe jina la uyo dogo mpya na jina la movie alioigiza maana movie ni nying siku hz mpaka kero
Kuhusu swala la kuigiza mapigo hawa akina Don yen cjui IP Man Wanaharibu movie wamekosa ubunifu km aliofanya toni jaa kipind anachipukia alikuwa anatoa doz mpaka mtu unahic upo ndan movie maana ni mkong'oto ulioenda shule
 
Mara ya mwisho toni jaa nilimuona kwenye movie akaigiza na wakina the rock, ya kibwege bwege kama fast and furious inakoelekea sijui walikuwa wanatafuta kifaa cha kucontrol satelite.
Movie za mwanzo zilikuwa tamu sana. Mimi hong bak 2 naipenda sana mpaka leo kwanza mimi napenda movie ambayo actor hacheki mwanzo mwisho, na kwenye hong bak jamaa alikuwa serious hacheki.
 
Jamaa mwingine anaekuja vizuri ni Iko iwais kwenye movie zake kama merantau warrior, the raid 1 $ 2, the night come to us, mile22, headshot na kuna moja yupo na yayan rihian ina mapigano mazuri saana
 
Jamaa mwingine anaekuja vizuri ni Iko iwais kwenye movie zake kama merantau warrior, the raid 1 $ 2, the night come to us, mile22, headshot na kuna moja yupo na yayan rihian ina mapigano mazuri saana
Ngoja niziafute, nisizicheki maana nishachoshwa na movie zenye mapigo ya uongo uongo mwingi
 
Hammaz
Kumbe uko viZuri namna hi?
Karate -goju Ryu-Japan
-shotokan

Kung fu- sholin-China
-wushu
Systema-Russia

Sambo-Russia

Krav Maga - Israel

Samurai-japan Hawa wanatumia sime
Hawa inadhaniwa ndio kiboko ya Ninjas.
Kisiwa Cha Okinawa ndiko inafanyika karate ya nguvu sana kwa Japan.
Nadhani Unajuakuwa Kuna Sport na Combat martial Arts.
Huyo jamaa anedai kupiga wanajeshi nadhani alipiga wanajeshi wa kawaida.
Angekutana na Commando pengine leo angekua mlemavu au Marehemu.
Kwa sababu commando wanafanya combat ,na wanajeshi wengine



Hawana mafunzo ya martial arts.
Ila wapo baadhi kwa juhudi binafsi wanajifunza.
Kwa hiyo jamaa asijichanganye kwa commandos.
 
Jamaa kakutana na wale vijana tuu weupe
 
Wazo lako kama langu.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Teh teh teh 😂😂..umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…