Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mama zetu wa kipindi cha nyuma walikuwa hawaachi maagizo Moja kwa moja.Lazima aseme kwa mafumbo
Mfano akitaka kutoka anataka kuwaambia mfanye kazi fulani utasikia.
Msiende kusanga hayo mahindi nitakuja na wali.
Naenda kusuka Msiwape ng'ombe maji nitakuja na soda.
Na mtembee mtaa wote wajue nilizaa watalii.
Pandeni kwenye miti kabisa wajue nilizaa nyani.
Kuleni chakula chote hadi na cha baba yenu akija atanila.
Msifate kuni nikija nitapikia vidole.
Lizeni kabisa hiyo radio iishe beteri baba yenu ataweka magunzi
Niwakute hamjaoga ili wageni wakija wajue mnalelewa na mama wa kambo!!
Na mengine mengi hivi kwanini walikuwa hawasemi moja kwa moja hadi waseme kwa mafumbo?