Tena msifuate maji nikirudi nitakuja na mvua!! Mama zetu wa kiafrika

Tena msifuate maji nikirudi nitakuja na mvua!! Mama zetu wa kiafrika

SAWA UMETOKA LINI CONGO KUPELEKA MOTO?

Tangia Juzi nipo tanzania
 
Ulikuwa ukizidisha chumvi kwenye mboga utasikia “Naona leo lori la chumvi limepata ajali”
😁😁😁😁

Ukigonganisha vyombo vikasikika utamsikia “Vunjeni tu, baba yenu si anafanya kazi SIDO”
 
Ulikuwa ukizidisha chumvi kwenye mboga utasikia “Naona leo lori la chumvi limepata ajali”
😁😁😁😁

Ukigonganisha vyombo vikasikika utamsikia “Vunjeni tu, baba yenu si anafanya kazi SIDO”
hahaaaaa
 
Duh hawa wamama ni wa nchi gani? Mbona sisi tulikuwa tunaagwa.

"Chalii what do you want for a gift my dear son?"

Ukiharibu kitu unaambiwa "Chalii please don't, that's bad manners"
Hii kama sio africa poter basi sijui maana nimekuwa nikiktuna na memes za pande tofauti tofauti kwenye bara letu hili
 
SAWA UMETOKA LINI CONGO KUPELEKA MOTO?

Chai
Jamaa aliamua kutunywesha chai na karanga
 
Malizeni chakula Cha baba yenu akirudi atanila 😂😂😂 Mambo ni♨️
 
Back
Top Bottom