Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hkika waliweza sanaUtashi wa kifasihi na vitisho mgandisho lazima tu uogope na kazi ufanye.
Sio lifestyle yao kipindi hicho?Na hivyo vituko vilikua Kwa mtu mweusi tu inadhihirisha unyani
Huo ni unyani hamna Cha life style hao ndio walichelewesha maendeleo Kwa mtu mweusiSio lifestyle yao kipindi hicho?
HeheheKwa bahati mbaya ukagusa beseni la vyombo ukasikika mlio wa kijiko utasikia akisema "vunja, vunja kabisa si unajua mama yako nna kiwanda cha vyombo".
Hahahaa hii kweli kabisa utasikia na bado nenda na kabatini ukamalizie kabisaKwa bahati mbaya ukagusa beseni la vyombo ukasikika mlio wa kijiko utasikia akisema "vunja, vunja kabisa si unajua mama yako nna kiwanda cha vyombo".
HeheheMama zetu wa kipindi cha nyuma walikuwa hawaachi maagizo Moja kwa moja.Lazima aseme kwa mafumbo
Mfano akitaka kutoka anataka kuwaambia mfanye kazi fulani utasikia.
Msiende kusanga hayo mahindi nitakuja na wali.
Naenda kusuka Msiwape ng'ombe maji nitakuja na soda.
Na mtembee mtaa wote wajue nilizaa watalii.
Pandeni kwenye miti kabisa wajue nilizaa nyani.
Kuleni chakula chote hadi na cha baba yenu akija atanila.
Msifate kuni nikija nitapikia vidole.
Lizeni kabisa hiyo radio iishe beteri baba yenu ataweka magunzi
Niwakute hamjaoga ili wageni wakija wajue mnalelewa na mama wa kambo!!
Na mengine mengi hivi kwanini walikuwa hawasemi moja kwa moja hadi waseme kwa mafumbo?View attachment 3241869
SAWA UMETOKA LINI CONGO KUPELEKA MOTO?Huo ni unyani hamna Cha life style hao ndio walichelewesha maendeleo Kwa mtu mweusi
hahahahaaatena ukiwa na mama mwalimu ndo balaa,
nilikuwa nikideka naambiwa "nikae hapa nikubembeleze halafu utakula mawe?"
Hatari sana🤣🤣🤣🤣 hao ndo wazi wetu Sasa, sio Hawa WAZAZI wa 1988
Sahihi ila ni% kubwa sana iwe kjijijni au mjini!!Old is Gold japokuwa hayakuwa maisha ya kila familia