Tena?

Tena?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Hii ni haki? CAF wameita refferees 27 na assistants 26 kwenda AFCON lakini hakuna mtanzania
 
hawajui lugha.....kama Wa najua basi ni kiingereza tu nacho sio fasaha wataleta mkanganyiko.......
 
Sisi wenyewe tu hapa kwenye ligi yetu tunawapigia kelele kila siku halafu unataka waende AFCON kikubwa wabadilike wahudhurie semina za CAF nyingi kuchezesha afcon s kuwa na beji ya FIFA tu hebu jiulize mashindano ya U17 Hapa kwetu n mmoja tu kapata nafas tena yapo kwetu
 
Marefa wetu ni mbumbumbu wakubwa, hawajasoma, wala rushwa na hawana maadili
 
Marefa wetu ni mbumbumbu wakubwa, hawajasoma, wala rushwa na hawana maadili
 
Michael Owen ni mwamuzi?
acha huyo iluliyemkalili sngalia ni refa gani anetejesha big match sana za lig nbali pale uingereza alichezesha Argentina vs france pia fainal yenyww ya world cup hana kad za hovyo jamaaa
 
acha huyo iluliyemkalili sngalia ni refa gani anetejesha big match sana za lig nbali pale uingereza alichezesha Argentina vs france pia fainal yenyww ya world cup hana kad za hovyo jamaaa
Mwandiko wako tu unaonyesha huelewi chochote.
 
Hii ni haki? CAF wameita refferees 27 na assistants 26 kwenda AFCON lakini hakuna mtanzania
Referees wetu hawa hawa wa kupokea maagizo kwamba timu fulani isipate ushindi?
Hawa hawa wanaotengeneza offside za kwao?
Nadhani CAF wapo serious na hawawezi huchukua vilaza wetu. Tubaki nao na Karia hapa Bongo.
 
Back
Top Bottom