Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata World Cup kulikuwa hakuna waamuzi kutoka England na league ya England unaifahamu na umaarufu wake.alikuwepo michael owen usikariri bos
Uko sahihiNadhani CAF wana vigezo vyao ambavyo wameona kwa waamuzi wetu havipo.
Pia nionavyo litazidi kuwa fundisho kwao na kujiangalia wapi wanakosea.
acha huyo iluliyemkalili sngalia ni refa gani anetejesha big match sana za lig nbali pale uingereza alichezesha Argentina vs france pia fainal yenyww ya world cup hana kad za hovyo jamaaaMichael Owen ni mwamuzi?
Mwandiko wako tu unaonyesha huelewi chochote.acha huyo iluliyemkalili sngalia ni refa gani anetejesha big match sana za lig nbali pale uingereza alichezesha Argentina vs france pia fainal yenyww ya world cup hana kad za hovyo jamaaa
Referees wetu hawa hawa wa kupokea maagizo kwamba timu fulani isipate ushindi?Hii ni haki? CAF wameita refferees 27 na assistants 26 kwenda AFCON lakini hakuna mtanzania