Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

Yaani yule mpumbavu angejua ni afadhali angekaa kimya tu, kuliko kurefusha mdomo kama nguruwe ambayo inalia njaa.
Unamaanisha yule anayetaka kuvua nguo?
Waziri wetu sidhani kama alikua anayajua haya yote...

Ila atayajuaje wakati kwenye kitabu anachotembea nacho hayapo...


Cc: mahondaw
Hiyo bado sio sababu au ni sababu dhaifu sana, sisi tunasubiri atekeleze maneno yake au amuombe radhi musa kwa kumuita muongo na kumchafua bungeni.
 
Atakuwa na watu nyuma sio bure

Navyojua wanawake waoga sana kwenye masuala kama haya,ukichukulia pesa nyingi sana halafu kaenda kupiga jeshi la polisi hayupo pekee yake naamini
 
Magufuli hana uwezo wa kupinga ufisadi , hajawahi kuwa nao na wala hatokuja kuthubutu kuwa nao .

Njama zote dhidi ya CAG , hizi zinazopangwa na Ndugai ni njama zake
Wewe dada naona kila siku lazima umuote Rais Maguful!!!! Karibu utapata mimba!
 
Mwigulu huwa zile tai za Bendeza za Tanzania, huwa ni urembo tu kama shanga
 
Duh Angela Kizigha fisadi sana hv aiseeeee...!! I believe 100% Mh. Rais wangu atamtia adabu kabisa huyu fisadi..!!
Tangu lini jpm anachukia ufisadi unaofanywa na ccm wenzake?
Nakwambia huyo mama ataendelea kudunda tu mtaani
 
Sasa hapa ndo huwa tunawapima viongozi shupavu!

Ngoja tumuone anko JPM anachezaje hili saga!
 
Huyo mrembo ivyo alafu anatapeli watu what a shame
 
Hii inashangaza sana.Wizi wa kutisha unafanyika na vyombo vya usalama vipo.Na ninaanza kuamini kabisa kwamba kuna 'parallel government' hapa kwetu ambayo ina nguvu kuliko Serikali halali.
 
Juzi wizara iliitwa kansa watu wakarusha mateke ila kati ya wizara zisizojitambua na hazijui maana ya awamu ya tano ni hii wizara . Mi siipendi ki ufupi
 

Muda wako unahesabika Ndugu Godmother!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…