Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

Ila tuache masihara wadada wenye jina la Angela ni warembo sana.
Hivi Angela Kizigha hana undugu na Angela Kai, mbona kama wanafanana kwa mbali?
 
Who is her baby? Kitwanga? Kama ni huyo sinema itaishia kama ya Lugumi. Kitwanga ni kama Bashite wana mbeleko ya chuma.
Mzee baba anatupiga usanii tuu, kama ule wa mchawi kulia sana kwenye msiba
Mzee mwizi mkubwa issue ya kitwanga kaimaliza kiana na hii ataimaliza ivo
 
Ila tuache masihara wadada wenye jina la Angela ni warembo sana.
Hivi Angela Kizigha hana undugu na Angela Kai, mbona kama wanafanana kwa mbali?
Yaani ukitumwa uje na mrembo utaandamana na huo mchubuko? Ebo
 
This is how much museee mutu inakula pesa ya umma Kama Mali ya urithi?
 
nimependa majibu ya kikakamavu ya major jenero rwegasira,hivyo ndo inavyotakiwa mpiganaji awe,na ndo maana alipewa hicho cheo adhimu,masnitch ni kuwajibu dry tu
 
Duh Angela Kizigha fisadi sana hv aiseeeee...!! I believe 100% Mh. Rais wangu atamtia adabu kabisa huyu fisadi..!!
Hawezi kumtia adabu atamwonea haya huyu maza mtamu c mchezo guu guu tako tako sura anayo mkulu lazima apindishe sheria hapo wazungumze kiutu uzima sura imeumbwa na haya haswa kwa warembo kama huyu mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuli hana uwezo wa kupinga ufisadi , hajawahi kuwa nao na wala hatokuja kuthubutu kuwa nao .

Njama zote dhidi ya CAG , hizi zinazopangwa na Ndugai ni njama zake
Hizo ni hisia tuu. Kama ni kweli ndugai katumwa na system kupambana na Asad. JPM angemvua kwanza kofia ya CAG hata kwa kutumia hila kama hana mamlaka ya kikatiba ya kufanya hivyo.
 
Hizo ni hisia tuu. Kama ni kweli ndugai katumwa na system kupambana na Asad. JPM angemvua kwanza kofia ya CAG hata kwa kutumia hila kama hana mamlaka ya kikatiba ya kufanya hivyo.
Hila ni kumuuwa labda lakini kwa njama za namna nyingine zimeshindikana
 
Alipotolewa knockout na halima kawe....wakampa shavu ubunge E.A

Ova
 
Hii inashangaza sana.Wizi wa kutisha unafanyika na vyombo vya usalama vipo.Na ninaanza kuamini kabisa kwamba kuna 'parallel government' hapa kwetu ambayo ina nguvu kuliko Serikali halali.
Wanaotuharibia inji (in Mrema voice) ni fisiem na wavaa Kaunda wote lao moja
 
Ila tuache masihara wadada wenye jina la Angela ni warembo sana.
Hivi Angela Kizigha hana undugu na Angela Kai, mbona kama wanafanana kwa mbali?
We unafikiri unaitwa Malaika kimchezomchezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…