Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

CCM ni mafisadi tangia mwanzo, na mtu yoyote akipeleka mapendekezo ya kuibana serikali na kuhakikisha uwajibikaji wa mihimili yote anashambuliwa vikali kuwa si mzalendo na anataka kuhatarisha 'amani yetu'. kuna uwezekano mkubwa tu CCM imekua ikijipatia fedha haramu za kampeni kupitia kampuni hewa zinazopewa zabuni na serikali, kama JWTZ na ofisi ya rais vingekaguliwa basi tungebaki midomo wazi.
alafu brigedia generali mzima anaonesha woga wa kijinga, upo ofisini tangu 2016 na haumjui mmiliki wa kampuni iliyowapiga??
au baada ya kuchunguza mlikuta majina mazito ya mabosi wenu wa zamani na sasa hivyo mnashangaa kwanini JPM anawasukumizia huo mzigo??
Ulisema lakini
 
Huyu anakula na Samia kitambo sana. Ujambawazi wao ni wa muda mrefu sana. Ubilionea wao kwasasa ni zaidi ya akina Bakhresa.
Gzi19MDXsAEQqmU.jpg
 
Back
Top Bottom