Ndio maana nikimuona mtu anaishadadia ccm namshangaa sana
View: https://youtu.be/BxoGKAEz0PU?si=U5D9HGQZxiH9-6pL
Mama hashibi tu ! Tusishangae Mama wa leo sio wa 2021-2022. Utamu wa ufisadi
UongoKumbe rais aliuwawa πππ
Mbona unaleta uchawa kwenye maswala yasiyo hitaji kuganga njaa..!!Uongo
Mwacheni maza alambe asali
Anatumia akili kubwa sana
Tafuta chimbo ulambe asali Mzee baba
Magu naye alikuwa muoga tu. Mbona hakumfunga jela huyo mama
Magu naye alikuwa muoga tu. Mbona hakumfunga jela huyo mama?
Kwahiyo unataka kusema askari walikaidi amri ya amir jeshi mkuu wao?Ye alitoa oda waliopewa oda nini kiliwasimamisha ndo waeleze sasa
ππππHuyu Angela Kizigha ni kabila gani kwanza?? Ana elimu gani?Maana si influence aliyonayo ya kupata maproject. Au alikuwa mchepuko wa JK nini?
sasa kwa nini Magu hakumchukulia hatua wakati alikuwa anaujua mchongo wote? Mbona wengine alikuwa anafukuza mara moja?
View: https://youtu.be/BxoGKAEz0PU?si=U5D9HGQZxiH9-6pL
Mama hashibi tu ! Tusishangae Mama wa leo sio wa 2021-2022. Utamu wa ufisadi
So unaona bado yupo uraiani au humwoniKwahiyo unataka kusema askari walikaidi amri ya amir jeshi mkuu wao?
Mama ameleta u shost,Kwenye shughuli za Rais huyu Mama huwa yupo Mbele mbele kuliko hata walinzi wa Rais. Yaani sijui itifaki gani inaruhusu uswahiba kwenye majukumu ya Mkuu wa Nchi. Kuna jambo halipo sawa.