Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

Kihistoria Ma BFF wa mama wanajulikana, Huyu ameibuka hapa kati kati kuwa BFF wa mama, ni wazi huu uBFF umeunganishwa na mtu mwingine. Walielekezwa kuwa ma BFF? Huyo aliyewaunganisha ndiye mshika remote.
 
Magufuli alisema huyo Kizigha hakupeleka kifaa au nguo hata kimoja jeshi la police, halafu leo watanzania wengine wanamtetea huyo mama.....Hivi watanzania mnao uelewa kuwa hizi pesa ni kodi zetu? Yaani amelipwa pesa zote hizo Billioni 40-Billioni 60 na hakupeleka chochote jeshi la police. Muogopeni Mungu nyiye mnaomtetea huyo Angellah Kizigha, ingawa bei yake ni ya kuruka, basi angalau angepeleka hivyo vitu huko jeshi la police.
 
Magufuli fisadi papa ana tofauti gani na huyo mama Magufuli wa kufungwa tu wewe kila wizi unahamiShia vote 20 harafu unaseme anakemea wizi dah ccm zao la ma shetani wezi wote
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka kuikomboa hii nchi kutoka kwenye makucha ya mafisadi papa ni kazi ngumu sana... maana hao mafisadi papa ambao ni wana mtandao wameweka machawa na vibaraka wao kibao wa kuwatetea na kuwapumbaza raia kwenye socia medias tena kwa ujira mdogo sana.

Watanganyika wapumbavu sana, yaani Angela na mtoto wake wanaogelea kwenye utajiri wa mabilion waliopata kwa njia za ufisadi, halafu leo hii kuna mtoto wa maskini yuko hapa mtandaoni anatetea ufisadi ilihali huko kwao kijijini wazazi wake wakienda kutibiwa zahanati wanaambiwa hakuna dawa.!? Inauzunisha sana.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mbunge wa kuteuliwa.

Safiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaaaaaaaana. Endeleeni kuyaibia haya matanganyika yakilalamika sana u ayawekea simba na Yanga na harmonize yanasahau kila kitu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…