- Thread starter
- #21
Ni hatari aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatari aisee
ukiwa na connection ya uhakika wala husumbuki unashangaa unalipwa hata kabla ya kazi kuishaSaiv wamekuja na mfumo wao mpya unaitwa nest
Yan ni utapeli juu ya utapeli unaomba tena umaambiwa usiweke kodi
Unapewa tenda dis month PLO inakuja next month
Unasapply vifaa dis week unakuja lipwa after 2 month
Af wanakela wanakwambia upeleke mzgo tare walokupangia na endapo utachelewa mzgo bas wanakata km 5% yapesa ila wao kwenye malipo unangoja ata miez sita na huna lakuwafanya
Kweli kabisaukiwa na connection ya uhakika wala husumbuki unashangaa unalipwa hata kabla ya kazi kuisha
tatozo wafanyabiashara wengi chipukizi bado hatuna backup
Umeongea point sana kuwa na backup ndiko kumemfanya Shebby mmiliki wa Naf beach mjini mtwara kuwa tajiri kiasi kileukiwa na connection ya uhakika wala husumbuki unashangaa unalipwa hata kabla ya kazi kuisha
tatozo wafanyabiashara wengi chipukizi bado hatuna backup
Yalinikuta nilijiona kama namkosi vile kumbe ndio style yao isee.. nilikomaaaa..Ni kweli, yan uwe na cash nyingi isiyo na kazi, kwamba unaweza kaa miaka mitatu bila hio pesa,
Ila hizi habari za una M2 ukachukue tender ya ya M2, mwisho utashindwa hata pesa ya kufuatilia hela zako
tupambane mkuu kutengeneza backupUmeongea point sana kuwa na backup ndiko kumemfanya Shebby mmiliki wa Naf beach mjini mtwara kuwa tajiri kiasi kile
Mkuu Kazi za tender ni nzuri Ila usitegemee kulipwa Kwa haraka,Mimi nilishagoma hizi tender za serikal hata kama nitakuwa na mtaji mkubwa
Hizo tender za halmashauri hazina shida Sana, coz unakuta ni 1 - 5 million,Mbona Huku kwetu Mikoani mahalmashauri wanalipwa kwa vijana wanasupply mavifaa vya ujenz ktk mashule,zahanati,hospital,na stationary na vifaa vya umeme wanalipwa vizuri tu yaan hawacheleweshi..unaletewa quatation ndani yasiku mbili tayar LPO unayo mkononi
Mkuu hapo wakudeal nae ni afisa manunuzi mkuu yaan boss wakitengo Cha manunuzi maana mradi wowote huwa wanajua vizur upi pesa Yake imetoka, wapi mradi unategemea kuanza iwe zahanati,shule, Sasa hapo muhisika wasehemu ambapo unatakiwa uanze jukumu linabaki kama nizahanati basi nidktar waeneo husika lakini daktar hawezi kufanya maamuzi yawapi amfuate supply bila kushauriwa na afisa manunuz..hivo hivo hata kwenye mashule hapo Sasa kama umedeal na afisa manunuz anaweza shauri kamat ya shule au daktar peleka quation kwa supply huyu huyu na huyu hawatakusumbua mradi utakamilika vizurHizo tender za halmashauri hazina shida Sana, coz unakuta ni 1 - 5 million,
Ila tender za 50 million kwenda juu , ndio issue inapoanza kulipana,
Mbona Huku mkuu wanapiga na mahela wanalipwaUnatakiwa uwe na upumgufu wa akili ili uweze kufanya kazi na serikali
Kuna jamaa alikuwa na biashara zake zinaenda vizuri tu, mpaka kununua gari mbili, ya kutembelea na cha kupigia mishe za hapa na pale.Mbona Huku mkuu wanapiga na mahela wanalipwa
dah 😂😂😂😀, nmecheka kama mazuriNi kweli, yan uwe na cash nyingi isiyo na kazi, kwamba unaweza kaa miaka mitatu bila hio pesa,
Ila hizi habari za una M2 ukachukue tender ya ya M2, mwisho utashindwa hata pesa ya kufuatilia hela zako
[emoji23]Ni kweli, yan uwe na cash nyingi isiyo na kazi, kwamba unaweza kaa miaka mitatu bila hio pesa,
Ila hizi habari za una M2 ukachukue tender ya ya M2, mwisho utashindwa hata pesa ya kufuatilia hela zako
Ndo yeye!!Mkuu kwa nini unapenda kutumia huu msemo kama Chriss Lukosi?