Tenda za Serikali ni nzuri kwa kampuni zenye mitaji ya kutosha

Tenda za Serikali ni nzuri kwa kampuni zenye mitaji ya kutosha

Saiv wamekuja na mfumo wao mpya unaitwa nest
Yan ni utapeli juu ya utapeli unaomba tena umaambiwa usiweke kodi
Unapewa tenda dis month PLO inakuja next month
Unasapply vifaa dis week unakuja lipwa after 2 month
Af wanakela wanakwambia upeleke mzgo tare walokupangia na endapo utachelewa mzgo bas wanakata km 5% yapesa ila wao kwenye malipo unangoja ata miez sita na huna lakuwafanya
ukiwa na connection ya uhakika wala husumbuki unashangaa unalipwa hata kabla ya kazi kuisha

tatozo wafanyabiashara wengi chipukizi bado hatuna backup
 
Ni kweli, yan uwe na cash nyingi isiyo na kazi, kwamba unaweza kaa miaka mitatu bila hio pesa,
Ila hizi habari za una M2 ukachukue tender ya ya M2, mwisho utashindwa hata pesa ya kufuatilia hela zako
Yalinikuta nilijiona kama namkosi vile kumbe ndio style yao isee.. nilikomaaaa..
 
Mbona Huku kwetu Mikoani mahalmashauri wanalipwa kwa vijana wanasupply mavifaa vya ujenz ktk mashule,zahanati,hospital,na stationary na vifaa vya umeme wanalipwa vizuri tu yaan hawacheleweshi..unaletewa quatation ndani yasiku mbili tayar LPO unayo mkononi
 
Hizo tender za halmashauri hazina shida Sana, coz unakuta ni 1 - 5 million,

Ila tender za 50 million kwenda juu , ndio issue inapoanza kulipana,
 
Hizo tender za halmashauri hazina shida Sana, coz unakuta ni 1 - 5 million,

Ila tender za 50 million kwenda juu , ndio issue inapoanza kulipana,
Mkuu hapo wakudeal nae ni afisa manunuzi mkuu yaan boss wakitengo Cha manunuzi maana mradi wowote huwa wanajua vizur upi pesa Yake imetoka, wapi mradi unategemea kuanza iwe zahanati,shule, Sasa hapo muhisika wasehemu ambapo unatakiwa uanze jukumu linabaki kama nizahanati basi nidktar waeneo husika lakini daktar hawezi kufanya maamuzi yawapi amfuate supply bila kushauriwa na afisa manunuz..hivo hivo hata kwenye mashule hapo Sasa kama umedeal na afisa manunuz anaweza shauri kamat ya shule au daktar peleka quation kwa supply huyu huyu na huyu hawatakusumbua mradi utakamilika vizur
 
Mbona Huku mkuu wanapiga na mahela wanalipwa
Kuna jamaa alikuwa na biashara zake zinaenda vizuri tu, mpaka kununua gari mbili, ya kutembelea na cha kupigia mishe za hapa na pale.

Akaingia kwenye tender za ujenzi wa majengo ya serikali, as we speak, kila ninaemjua anafahamiana nae anamdai, ninamdai pia na biashara zake zote zimesimama.

Pesa yote kazika kwenye miradi na kulipwa ni mpaka wajisikie, ukifanya kazi ya 20m unalipwa 14.5m, zingine unaweka pending. Kibaya zaidi ukiwakoromea unafungiwa tinted, tender zijazi hulipwi.

Asikwambie mtu, hiyo biashara niya watu wenye pesa ndefu isiyo na kazi. Kwamba, kuliko ikae Bank tu, bora izalishe kupitia tender.
 
Ni kweli, yan uwe na cash nyingi isiyo na kazi, kwamba unaweza kaa miaka mitatu bila hio pesa,
Ila hizi habari za una M2 ukachukue tender ya ya M2, mwisho utashindwa hata pesa ya kufuatilia hela zako
dah 😂😂😂😀, nmecheka kama mazuri
 
Ni kweli, yan uwe na cash nyingi isiyo na kazi, kwamba unaweza kaa miaka mitatu bila hio pesa,
Ila hizi habari za una M2 ukachukue tender ya ya M2, mwisho utashindwa hata pesa ya kufuatilia hela zako
[emoji23]
 
Nilizikataa hizi kazi za serikali zaidi baada kutaka kunipangia bei na sijui 2% ya vitu gani wanazingua
 
Back
Top Bottom