Tetesi: Tenda zote za Serikali na makampuni binafsi kuwa monitored na serikali, mawakala binafsi hawana nafasi tena

Na we we ni walewale tu,mtozeni
 

Haina neno; mwacheni jiwe aendelee kutafuta miguu ya nyoka. Keshaambiwa nyoka hana miguu, watu wengi tu (na ushahidi wa maandiko upo) walishatafiti na kujiridhisha kuwa nyoka hawana miguu ila yeye bado anaamini nyoka wana miguu.

Mnaomuimbia mapambio mnaujua ukweli kuwa nyoka huwa hawana miguu ila for some reason mnamsisitizia kuwa akiendelea na jitihada anazozifanya ataudhihirishia ulimwengu kuwa kile kilichokuwa kimedhihirishwa kwa ushahidi usio na shaka kuwa nyoka hawana miguu actually wana miguu.

Maybe kuna siku mtapewa neema ya kupata ujasiri wa kuukubali na kuukiri ukweli hadharani.
 
Leo mh waziri wa uchukuzi kaitamani kazi ya kusafirisha mizigo na vifushi kwa njia ya mabasi
 
Tunarudi zama za mwalimu ujamaa na kujitegemea itafika mahali. Kwa utawala huu tutanunua sukari kwenye vyama vya ushirika viatu maduka Yale maarufu Bora shoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hakuna uchaguzi ili kuitoa hii serekali? Kabla hali haijawa mbaya?? Nini maana ya ushindanishi wa Sera za vyama??

Nadhani 2020 kije chama kingine au mgombea mwingine na Sera mbadala kuirudisha nchi kwenye right track
 
na hio serikali iajiri right combination of skilled people,sio wanaokagua ni mangubaru kama Becky hapa,na pia idhibiti rushwa
 
Serikali haiwezi biashara kama kawaida utaratibu huo utashindwa vibaya baada ya muda mfupi kwakuwa wote tunafahamu watendaji wa serikali walivyo na urasimu kwenye maamuzi. Nakumbuka hata manunuzi ya taasisi kubwa za umma ukitaka kufanikisha haraka sekta binafsi ndo jibu lakini kwakuwa kila kitu tumeamuwa kuwa tunajaribisha tushindwe kwanza ndipo kusikiliza ushauri sawa wakati utaongea.
 
Mbona ni tetesi tu?

Nimewahi kusikia Radio moja ya Moro, Wakitangaza Company moja ktk Wilaya moja kuwa ni Wakala wa Manunuzi eneo husika.
Wananchi wote wanapaswa kununua everything kama stationaries, hardware things etc etc ni pale tuu.. that is it.

Hii kitu Kipo, I think kilikuwa ktk study...
 
First they came for the socialists, and I did not speak out because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out because I was not a Jew.

Then they came for me and there was no one left to speak for me.
 
vichaa at work. Tenda zote kwa wanaccm.
 
Huyu jamaa hasemi tu lakini anaipiga vita sana sekta binafsi.
Halafu utashangaa huenda kashauriwa na Kabudi na Bashite!
Sekta binafsi ilikuwa na makanjanja na wapiga dili wengiii. Bora king jiwe awashikije adabu..mpaka wanyooke. Nafurahi sanaaaa. Jiwe atawale mpka siku mungu atakapomchukua. Washike adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon kutakuja kauli kuwa huruhusiwi kumlala mkeo mpaka upate kibali maalum toka kwa wakala wa kujamiiana na kurutubisha vizazi. #Vivajiwe#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…