Tetesi: Tenda zote za Serikali na makampuni binafsi kuwa monitored na serikali, mawakala binafsi hawana nafasi tena

Serikali ya ovyo tu ndio inayoweza kudharau sekta binafsi..

Nikikumbuka jiwe alivyodanganya kuwa Hostel za UDSM zilijengwa kwa 10Bil na TBA halafu CAG kwenye ukaguzi akasema ni 54Bil ndio pesa iliotumika nacheka na kuona Ikulu kuna kichaa kabisa..

Yote ni kudanganya umma kwamba sekta binafsi ni wezi.
 
Dunia inaenda mbele kwa kasi vivyo hivyo Tanzania inarudi nyuma kwa kasi ya ajabu...jamaa Nchi ameiharibu sana mpaka hapa tuu ilipofikia nadhani hii adhabu ni mpango wa Mungu sio bure...
 
Hivi kumbe na wewe mkuu ni muongo hivi???!!!
 
Huyuu hatufai hata kidogo Kesha uwa bendi 100% bwembwe kibao kumbe hamna kitu hata kidogo
 
Akimalizana na Sisi atageukia kwenu mtaelewa tu
 
Sekta binafsi ilikuwa na makanjanja na wapiga dili wengiii. Bora king jiwe awashikije adabu..mpaka wanyooke. Nafurahi sanaaaa. Jiwe atawale mpka siku mungu atakapomchukua. Washike adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo kichaa anauwezo wa kuajili watu wote waliokuwa kwenye sekta binafsi au yeye kichwaa chake kimejikoroga hovyo kabisa sijui Kikwete alitokea wapi
 
Alipotamani fedha za matetemeko kule Bukoba, na akazipiga, watu walimtetea, kwamba ndiyo maendeleo.
Alipotamani fedha za korosho na kuzipiga, na kisha akapitisha sheria kabisa ziwe zake zote, na kuwatishia wale waliokuwa wanapinga kwamba ATAANZA NA SHANGAZI ZAO, watu walimtetea kwamba ndiyo maendeleo.
Alipotamani fedha zote za mashirika na kuzipeleka BoT, watu walimtetea kwamba ndiyo maendeleo.

Chuki yake kwa wafanyabiashara, wafanyakazi, wavuvi na wafugaji, ni kubwa na ya siku nyingi, ila anajitahidi sana kuificha. Lakini samaki akichina, hata umkaange kwa viungo vya wapi, bado kachina tu.

Huyo ndiyo Magu. Wanaombeba wanazidi kupungua kwa kuzidiwa na uzito wa asiyebebeka. Tutafika tu.
 
Hali inatisha

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Daaaaah ANKALI anatafuta mchawi nani wakati yeye mwenyewe ndio "KAUTAPAKANYA" UCHUMI na sasa ndio Umempiga mweleka anatafuta mchawi NANI....Bado Kuleta Kodi ya KuDo na MKE/MME.
Kodi ya kujamba umesahau. Inasemekana kila mtu anapojamba anakua ameingiza pesa nyingi sana tumboni hivyo inatakiwa ailipie kodi
 
Kaaazi kwei kwei!!! Nakumbuka kipindi cha nyuma taasisi zote za Serikali walikuwa wananunu mahitaji yao yote ya kiofisi kupitia wakala wa Ununuzi yaani GPSA tatizo lilojitokeza ni ucheleweshaji wa malipo toka taasisi kwenda GPSA pamoja na changamoto nyingi huo mpango ukaanza kukwamia hapo wakarudi kwetu sasa wanataka kutoka tena.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…