Tetesi: Tenda zote za Serikali na makampuni binafsi kuwa monitored na serikali, mawakala binafsi hawana nafasi tena

labda wameifanyia upembuzi yakinifu
 
Hawa viongozi inatakiwa wasome elimu ya ujasliamali ''Entrepreneurship'' kuna topic inaitwa ''an Entrepreneur and his Environments'' inawahusu sana
 
U communist [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Natamani huyu mtu apate mshauri na amuelewe [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa hasemi tu lakini anaipiga vita sana sekta binafsi.
Halafu utashangaa huenda kashauriwa na Kabudi na Bashite!
Yaani ni ukichaa kuipiga vita sekta binafsi,
Wakati ni sekta inayotoa ajira nyingi,kodi nyingi,
Ebu linganisha ubora wa Vodacom,au Tigo na TTCL,
Kampuni kama Vodacom,mnara wake mmoja,kuna kampuni inatenda ya ulinzi,kuna kampuni ina tenda ya mitambo na umeme,kuna kampuni inatenda ya kuhudumia vifaa vya mawasiliano,ukiiua voda,nchi nzima inasimama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…