Tende za msaada ni salama?

Tende za msaada ni salama?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wakati huu wa mfungo. Huwa tunaletewa tende za Msaada toka Arabuni. Vipi kuhusu usalama wake? TBS wazipime tujue ubora wake
 
😂😂😂😂elimu dunia sio kipaombele chao na huko ndio kuna matakataka mengi.
 
Ukiwa masikini huna usalama. Hakuna cha bure, ukitaka cha bure basi usalama wako upo rehani
 
Back
Top Bottom