SoC02 Tendo la ndoa lisilo asilia na madhara yake

SoC02 Tendo la ndoa lisilo asilia na madhara yake

Stories of Change - 2022 Competition

Kingtol

Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
11
Reaction score
31
(Ngono kinyume na maumbile kwa wanandoa au wachumba)
πŸŽ€
Tendo la ndoa au kufanya mapenzi ni jambo nyeti na muhimu sana kwa binadamu.
πŸŽ€

Ufanyaji mapenzi au kujaamiana hufanywa na wapenzi walio na wasio kwenye ndoa.
Wapenzi wengi hasa jamii ya kiafrika wanapitia changamoto nyingi sana hasa katika kipindi cha utandawazi.

πŸŽ€
Kumeibuka MAPENZI YASIYO YA ASILI ambayo husambazwa kupitia video mbalimbali,na kwenye mitandao ya intaneti.

Hii hupelekea vijana, wababa, wamama,mabinti,na hata wazee kupenda kutazama video za ngono toka kwa wazungu ambazo mara nyingi zinaonesha MAPENZI YASIYO YA ASILI
πŸŽ€
Je mapenzi yasiyo ya asili ni yapi? Mapenzi yasiyo ya asili ni kama vile kulawiti,kumuingia kinyume na maumbile mwanamke,kunyonya uume,kunyonya uke,kulamba mk#nd#,kuingiza vidole/mikono/miguu ukeni na mk#nd#ni, kutumia uume na uke bandia,midoli etc.*

πŸŽ€
Leo tutazungumzia URUKAJI UKUTA/KUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE ( ufir#ji).
Huu mchezo umeshamiri sana kwa sasa sio tu Tanzania bali dunia nzima kwa ujumla.
Kumekuwa na taarifa nyingi toka vitengi vya tiba na afya za uzazi kuhusu athari za mchezo huo kwa wanaume na wanawake.

πŸŽ€
Mapenzi ya kuingia mlango wa nyuma umetokea kupewa majina mengi sana kama kula tigo,kula boga,kula kisamvu,samvu la kopo,bata,kwenda kenya,kwa mpalange, na mengine mengi.

Washiriki wengi wa tendo hili lisilo la asili walianza kwa sababu nyingi sana zikiwemo KUJARIBU KUJUA RADHA,KUIGA WAZUNGU,KUIGA WAHINDI NA WAARABU ,WAITALIANO,WAGIRIKI,WAHISPANIA NA WABRAZIL ndio maana kumekuwa na taarifa nyingi sana kwenye maeneo ambayo jamii tajwa hapo wameishi au wanaishi kama vile Mombasa,Zanzibar,Tanga,Pwani na sehem za majiji makubwa Afrika.
πŸŽ€
Tendi hili linafanywa kwa siri na watu wa rika tofauti kwa wingi sana kwa sasa hapa nchini Tanzania.

Wanawake wengi waliojitokeza katika UTAFITI uliofanywa na madaktari kitengo cha utafiti wa masuala ya uzazi pale MUHIMBILI mwaka 2010 wanasema, wanawake walio kwenye ndoa wanaokwenda kujifungua wanapata shida kujifungua kwa kuwa wanaingiliwa kinyume na maumbile na waume zao lakini wanaogopa kusema kuepusha ndoa zao kuvunjika na pia wanshindwa kukataa kwa sababa wanaume zao wataenda kulala na machangudoa kinyume na maumbile afu na kuja kuwaambukiza wao magonjwa ya ngono kupitia ukeni.

πŸŽ€
Tendo hili pia linafanywa na vijana wengi sana kwa wapenzi wao kwa kuwarubuni zawadi nzuri nzuri na pesa ndefu na hivyo wanawake wengi huonekana kukubali mchezo huo na badae huzoea na kuona ni ngono ya kawaida tu.

πŸŽ€
UKWELI NI KWAMBA, mchezo huu wa kuruka ukuta(ufi##ji) hufanywa na watu wengi sana na hakuna mtu utamuuliza akasema na kukubali kwamba anashiriki tendo hilo na mpenz wake au mke wake, unajua kwanini?? Ni kwa sababu TENDO HILO LA MLANGO WA NYUMA si penzi asilia na ni aibu ukijulikana unafanya tendo hilo mtaani na halikubaliki na tamaduni nyingi za kiafrika na hata tamaduni za kidini kama vile wakristo,waislam,wayahudi etc.

πŸŽ€
Maisha magumu ya wanawake walio wengi huwapelekea kuingia katika biashara ya ngono ta aina hii ili kujipatia kipato kikubwa bila kujua athari za hili tendo kiafya.
πŸŽ€

Wengi wamekuwa wakisema , "utumiaji mafuta na vilainish mbalimbali na kuvaa kondomu kunasaidia kutopata madhara kwa wapenzi wanaoshiriki hilo tendo" hii si kweli maana uingizwaji wa uume utasababisha kulegea kwa misuli ya utumbo (puru) na njia ya kutolea kinyesi kuwa wazi muda wote.

πŸŽ€
UNAJUA KWANINI wengi wanaofanya hilo tendo huwa ni wagumu sana kushaurika na kuacha mapenzi hayo yasiyo ya asili?

Ni kwa sababu .. "Wameshaathirika kisaikolojia maana yake, ile njia huwa ina mishipa ya faham mikali sana hivyo huchochea raha pale inaposuguliwa na kupewa joto na pia endapo mwanamke atamwagiwa zile manii kwenye tundu hilo la utumbo,manii huganda na kuoza na kusababisha bacteria ambao watataka chakula na wanakosa hivyo hukwangua ngozi laini ya utumbo huo na kuleta muwasho wa kutamani kujikuna na badae wazo litakuja la kurudia kufanya mapenzi yaleyale.
πŸŽ€
Kwa wanaume ambao ni mashoga (wanaingiliwa kinyume) hawa ndo maana wagumu kuacha huu mchezo kwa sababu nilizotaja hapo juu.

πŸŽ€
Kuna athari nyingi sana za URUKAJI UKUTA katika mapenzi ntataja kwa uchache wake:-
1. Mwanamke kushindwa kujifungua mtoto akiwa mjamzito
2. Wapenzi wote kupata magonjwa ya ngono hatarishi
3. Mwanaume njia yake ya mkojo kuziba.
4. Kuathirika kisaikolojia na akili.
5. Kutokwa na haja bila kutarajia
6. Kushindwa kufanya penzi njia asilia na kukosa hamu na njia hiyo ya asilia (uke)
7. Kansa ya mk##du.
Na zingine nyingi sana.
πŸŽ€

Narudia tena "HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ATAKAYEKIRI ANAFANYA HUO MCHEZO NA MPENZI WAKE AU MKE WAKE AU MME WAKE"

πŸŽ€
Imebaki kuwa ni siri zao japo huwa wakizidiwa wanaamua kuzitoa au wakigombana au wakiachana au wakinyimwa hutoa siri hizo kwa marafik na wakati mwingine siri hizo zinabumburuka mahospitalini.

πŸŽ€
USHAURI
Kama ulishaanza na unahisi unashindwa kuacha, nenda hospital kaonane na wataalam wa afya za uzazi na utapata tiba nzuri


ASANTE
By
C.E.O
iDenTad ent
Mr. Alfred S. Albano
 
Upvote 5
Back
Top Bottom