Mafyangula
Member
- Jan 16, 2025
- 75
- 100
Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu.
Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele sana na ni miongono mwa jambo ambalo lazima nilifanye kwa ufundi sana na uweledi ulichanganywa na ubunifu wa hali ya juu, ili kuendelea kulinda ndoa yangu.
Wewe vipi upande wako kuhusu tendo la ndoa?
Soma Pia: Mbunge Jesca Msavatavangu ang'aka Bungeni wanandoa kunyimana tendo la ndoa