Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Tendo la ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.

“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na wewe unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari unafanya na nani, kwa ajili ya nini, matokeo yake ni yepi”

“Tena sana na ndio maana unakuta wale wenye wanawake/wanaume 9 mpaka 11 na kuendelea ukiwachunguza vizuri akili zao huwa lesi muda wote.”
 
Tendo la ngono linabeba bahati,mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.

“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na ww unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari unafanya na nani,kwa ajili ya nini,matokeo yake ni yepi”

“Tena sana na ndio maana unakuta wale wenye wanawake/wanaume 9 mpaka 11 na kuendelea ukiwachunguza vizuri akili zao hua lesi muda wote.”
Yamekukuta nini?
 
Hizi propaganda nishazikataa kitambo Sana. Kuna watu wanaloweka rungu kila siku na pesa wanayo tu.
Vipi akina uwoya kwamba wao wanakutana na wanaume wasio na mikosi maishani mwao?

Unaambiwa mengi alikuwa mzee wa totozi ile mbaya mbona Mali zake zipo hadi leo? Mudy je kwamba haoloweki?
Rickrosee msanii mmarekani amepiga hadi akina mobeto mbona anazidi kutusua tu. Hii Mimi sikubaliani nayo lete nyingine .

Umaskin Mara nyingi Ni background tu. Kama mababu zako walikuwa wavivu enzi hizo ambapo Mali zilikuwa zinapatikana kirahis tofauti na Sasa basi ndio matokeo ya umasikini wa leo kwenye ukoo wenu.

Nimejaribu kuchunguza Sana familia nyingi za zamani ambazo zilikua na unafuu yaani wazee ambao walijiongeza na kusomesha hata watoto wawili saizi koo zao hazina njaa Wala shida maana wanapeana tu connection.

Zamani Kuna wazee walikuwa wajanja walinunua ardhi kwa Bei ya kutupwa Sana hasa kwa wale ambao hawakuwa na subira.

Kuna wazee waliuza mifugo na kusomesha watoto wao huku wazee wengine wakitumia hiyo mifugo kuoa wanawake wengi na ndio hao wamesababisha had leo Koo zao ziwe maskini.

Narudia Tena umasikini wa sisi watanzania tulio wengi umesababishwa na mababu zetu, saizi mtu unakuta huna hata pakuanzia, mtu unasoma lakini Nani wakukushika mkono? Nani msomi kwenu ambae yupo kitengo? Nani kwenu walau Ni mpambanaji tokea kitambo kwamba saizi Ana jina au alishatengeneza jina?

Umasikini huanzia hapo Sasa kila unapogusa ni pachungu ndipo mawazo ya kuhusi una mikosi huja Sasa kumbe huna mikosi Bala huna connection .
 
Hizi propaganda nishazikataa kitambo Sana ,Kuna Malaya wanaloweka rungu kila siku na pesa wanayo tu.
Vipi Malaya wa kibongo Kama akina uwoya kwamba wao wanakutana na wanaume wasio na mikosi maishani mwao?

Unaambiwa mengi alikuwa mzee wa totoz ile mbaya mbona Mali zake zipo had leo?
Mud je kwamba haolowek ?
Rickrosee msanii mmarekan amepiga had mbunye za uswaz za akina mobeto mbona anazid kutusua tu.
Hii Mimi sikubalian nayo lete nyingine .

Umaskin Mara nyingi Ni background tu ,Kama mababu zako walikuwa wavivu enzi izo ambapo Mali zilikuwa zinapatikana kirahis tofaut na Sasa bas ndio matokeo ya umaskin wa leo kwenye ukoo wenu.

Nimejaribu kuchunguza Sana familia nyingi za zaman ambazo zilikua na unafuu yaan wazee ambao walijiongeza na kusomesha hata watoto wawil saiz Koo zao hazina njaaa Wala shida maana wanapeana tu connection.
Zaman Kuna wazee walikuwa wajanja walinunua ardhi kwa Bei ya kutupwa Sana hasa kwa wale ambao hawakuwa na subra .
Kuna wazee waliuza mifugo na kusomesha watoto wao huku wazee wengine wakitumia hiyo mifugo kuoa wanawake wengi na ndio hao wamesababisha had leo Koo zao ziwe maskin.
Narudia Tena umaskin wa sisi watanzania tulio wengi umesababishwa na mababu zetu ,saiz mtu unakuta huna hata pakuanzia ,mtu unasoma lakin Nan wakukushika mkono? Nan msomi kwenu ambae yupo kitengo? Nan kwenu walau Ni mpambanaji tokea kitambo kwamba saiz Ana jina au alishatengeneza jina?
Umaskin huanzia hapo Sasa kila unapogusa Ni pachungu ndipo mawazo ya kuhis una mikosi huja Sasa kumbe huna mikosi Bala huna connection .
Mkuu umeongea kwa hasira sanaa...😂... enewei, umeongea kitu cha kufikirisha piah...👊
 
Kuna mchepuko mmoja ananipenda sana ila tatizo lake ni kwamba ukimpiga game tu pesa hupati.
Hata kuoa vijana waliangalie hili.
Wengi wamefulia mpaka wanatia huruma mara tu baada ya kujiwekea kipoozeo ndani

Achana nae
 
Back
Top Bottom