Hizi propaganda nishazikataa kitambo Sana ,Kuna Malaya wanaloweka rungu kila siku na pesa wanayo tu.
Vipi Malaya wa kibongo Kama akina uwoya kwamba wao wanakutana na wanaume wasio na mikosi maishani mwao?
Unaambiwa mengi alikuwa mzee wa totoz ile mbaya mbona Mali zake zipo had leo?
Mud je kwamba haolowek ?
Rickrosee msanii mmarekan amepiga had mbunye za uswaz za akina mobeto mbona anazid kutusua tu.
Hii Mimi sikubalian nayo lete nyingine .
Umaskin Mara nyingi Ni background tu ,Kama mababu zako walikuwa wavivu enzi izo ambapo Mali zilikuwa zinapatikana kirahis tofaut na Sasa bas ndio matokeo ya umaskin wa leo kwenye ukoo wenu.
Nimejaribu kuchunguza Sana familia nyingi za zaman ambazo zilikua na unafuu yaan wazee ambao walijiongeza na kusomesha hata watoto wawil saiz Koo zao hazina njaaa Wala shida maana wanapeana tu connection.
Zaman Kuna wazee walikuwa wajanja walinunua ardhi kwa Bei ya kutupwa Sana hasa kwa wale ambao hawakuwa na subra .
Kuna wazee waliuza mifugo na kusomesha watoto wao huku wazee wengine wakitumia hiyo mifugo kuoa wanawake wengi na ndio hao wamesababisha had leo Koo zao ziwe maskin.
Narudia Tena umaskin wa sisi watanzania tulio wengi umesababishwa na mababu zetu ,saiz mtu unakuta huna hata pakuanzia ,mtu unasoma lakin Nan wakukushika mkono? Nan msomi kwenu ambae yupo kitengo? Nan kwenu walau Ni mpambanaji tokea kitambo kwamba saiz Ana jina au alishatengeneza jina?
Umaskin huanzia hapo Sasa kila unapogusa Ni pachungu ndipo mawazo ya kuhis una mikosi huja Sasa kumbe huna mikosi Bala huna connection .