Ilumine
Senior Member
- Dec 27, 2008
- 196
- 4
Sawa tu, ila atakumbukwa "milele" katika Historia ya nchi yetu. Natumaini, akifanikisha hili kwa kutenda haki, watakaoingia madarakani watamlipa kadiri alivyotenda haki.Afukuzwe kazi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tu, ila atakumbukwa "milele" katika Historia ya nchi yetu. Natumaini, akifanikisha hili kwa kutenda haki, watakaoingia madarakani watamlipa kadiri alivyotenda haki.Afukuzwe kazi???
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa hapa Tanzania wanasubiri kuona kama Tendwa ataamua kujiwekea historia katika siasa za Tanzania kutokana na maamuzi atakayoyafanya kuhusu pingamizi alilowekewa Kikwete. Je ataweka kando itikadi na kuamua kufuata haki na uadilifu kwa kutimiza malengo...................................