Elections 2010 Tendwa kuweka historia?

Elections 2010 Tendwa kuweka historia?

Afukuzwe kazi???
Sawa tu, ila atakumbukwa "milele" katika Historia ya nchi yetu. Natumaini, akifanikisha hili kwa kutenda haki, watakaoingia madarakani watamlipa kadiri alivyotenda haki.
 
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa hapa Tanzania wanasubiri kuona kama Tendwa ataamua kujiwekea historia katika siasa za Tanzania kutokana na maamuzi atakayoyafanya kuhusu pingamizi alilowekewa Kikwete. Je ataweka kando itikadi na kuamua kufuata haki na uadilifu kwa kutimiza malengo...................................

Hana guts za kufanya hivyo. CCM ''wamesha msaidia'' majibu - kwamba Kikwete alikuwa anatangaza ILANI ya CHAMA chake. CCM wanasema na Dr. Slaa pia amekiuka maadili ya sheria za uchaguzi kwa ''kuahidi'' kushughulika kero za wafanyakazi, kutoa elimu ya bure etc. Usitegemee maajabu ya aina yoyote kutoka kwa Tendwa
 
Back
Top Bottom