Tengeneza dawa usiku za kuondosha sumu mwilini asubuhi uinywe sumu itaondoka

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363


Pata Malimao 2 weka ndani ya glasi ya maji baada ya kuyakata, Tango nusu kata weka ndani ya glasi ya maji, na majani ya Nanaa 10 au 10 weka katika glasi maji acha usiku kucha asaubuhi kabla ya kula kitu kunywa hayo maji utaondosha sumu iliyo mwilini mwako. Tumia kisha uje unipe feedback.
 
Mkuu hii Nanaa ndio nn sijakuelewa!! ama umemaanisha nanasi!!
asaubuhi umemaanisha asubuhi ama!!! nijuze tafadhali!!
 
Mint ipi, au hata yale majani (weeds) wazee walizokuwa wanachoma kufukuza mbu? Maana hayo yapo mengi mitaani, lkn mint hizo za kutengeneza dawa na pipi mbona zalimwa nyanda za juu tu. Labda tununue kavu.
 
Mkuu hii Nanaa ndio nn sijakuelewa!! ama umemaanisha nanasi!!
asaubuhi umemaanisha asubuhi ama!!! nijuze tafadhali!!

Mint ipi, au hata yale majani (weeds) wazee walizokuwa wanachoma kufukuza mbu? Maana hayo yapo mengi mitaani, lkn mint hizo za kutengeneza dawa na pipi mbona zalimwa nyanda za juu tu. Labda tununue kavu.
Mkuu Pelham 1 na bibie Kaunga mbona mumekuwa ni wazito kuelewa jamani? Mint ni lugha ya kiingereza kiswahili ni Nanaa. angalieni majani ya hayo Mint leaves Majani ya (Nanaa) hapo chini. Asubuhi ni asubuhi pale unapo amka kutoka usingizini ndio asubuhi.

 

Attachments

  • Mint.jpg
    9.4 KB · Views: 1,948
Hapo kwenye upatikanaji wa Nanaa ndo kimbembe mkuu.

Hata hivyo natoa wito kwa wake za watu waitumie kwa wingi maana binafsi nakereka Sana na hii kauli,'MKE WA MTU NI SUMU' Please detoxification is highly needed!!!!

Shukrani mkuu kwa ku-share nasi.
 
Hili somo ni zuri sana maana hiki kitambi changu nadhani kimejaza sumu tupu. Please jinsi ya kuipata hio Nanaa kwa hapa Dar saidia mimi tafadhali Bwana MziziMkavu
zumbemkuu na MANI njooni hapa mpate kikombe cha sumu

Mpwa hili nanaa sio lile jani linaharufu kali hivi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MziziMkavu je ni lazima kuchanganya yote kwa pamoja au natumia ambacho kinapatikana kwa urahisi eneo nililopo???
 
Last edited by a moderator:
mie nitajaribu hii manake nimejishtukia nakula sana mavitu yenye kemikali kiliko kawaida
 

Mkuu MziziMkavu,kwanza nakupongeza sana kwa utayari wako kila mara wa kushare mambo mengi sana mazuri na yenye manufaa kwa watu wote wanaopenda kujifunza.Big up brother.naomba nifafanulie, baada ya kuwa nimekwisha loweka usiku kucha hayo malimao,matango na nanaa kila moja kwenye glasi yake, asubuhi wakati wa kunywa, nitakunywa kila kimoja kama kilivyo kwenye glasi yake au nachanganya maji ya vyote vitatu kwenye chombo kimoja? Na kamani kila moja kama ilivo kwenye glasi yake, kwa interval gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…