Tengeneza dawa usiku za kuondosha sumu mwilini asubuhi uinywe sumu itaondoka

Tengeneza dawa usiku za kuondosha sumu mwilini asubuhi uinywe sumu itaondoka

nashukuru kwa somo mkuu lakini tuweke wazi kuna litakalo tokea baada ya hapo maana kuna siku nilikunnywa dawa ya aina hii ilinibidi nisiende ofisini maana tumbo lilifungua kwa hii vipi?na hasa maji ya tango
Maji ya Tango hayana madhara bibie ugolo wa bibi kunywa maji ya Machungwa ,Maji ya nanaa Maji ya ndimu,Maji ya limau na maji ya Tango kunywa kwa ajili ya Afya yako.
 
Last edited by a moderator:
...Mkuu utajuaje sasa hapa sumu imetoka baada ya kula hiyo mitishamba?!
 
KakaJambazi pia inaimarisha nguvu za kiume maana simu ikishatoka mwilini mwili unakuwa mwepesi......ha ha ha....Najua MziziMkavu amesahau hili na angefanya hilo bandiko lake lingepata wageni wengi zaidi:scared:
Kwani inatumika kufanyie nn kingine?
 
Last edited by a moderator:
majani ya nanaa ndo yap? Hakuna jina lengine labda?
 
majani ya nanaa ndo yap? Hakuna jina lengine labda?

Uwe unasoma uzi kwanzia mwanzo mbona jibu lishatolewa na picha zimewekwa,Nanaa ndo kiswahili.Kuna picha imewekwa kama picha uielew bas hata majani huyajui.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom