Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
- #41
Maji ya Tango hayana madhara bibie ugolo wa bibi kunywa maji ya Machungwa ,Maji ya nanaa Maji ya ndimu,Maji ya limau na maji ya Tango kunywa kwa ajili ya Afya yako.nashukuru kwa somo mkuu lakini tuweke wazi kuna litakalo tokea baada ya hapo maana kuna siku nilikunnywa dawa ya aina hii ilinibidi nisiende ofisini maana tumbo lilifungua kwa hii vipi?na hasa maji ya tango
Last edited by a moderator: