Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

Swali la msingi:
Hiyo internet Yako wee unaitoa Kwa nani?

Nmeuliza hivi maana juz juz TU Arusha Watu wamedakwa wakiuza internet ya starlink nchini bila kibali Cha tcra,

Na wako cello Hadi Sasa.
Ila issue ya Starlink wangeiangalia kwa jicho la uharaka, ni ya muhimu sana hii
 
Hii nzuri lakini mbona vifaa bei kubwa?
 
NyegereBOY kuna lile jagi la Airtel wanalipia 70k Kwa mwezi ni tofauti na hii system yako? au, nieleweshe hapa👇
 

Attachments

  • download.jpeg
    3.2 KB · Views: 4
NyegereBOY kuna lile jagi la Airtel wanalipia 70k Kwa mwezi ni tofauti na hii system yako? au, nieleweshe hapa👇
Hapana havifanani kabisa hii ni full system inayokuwezesha kufanya biashara hiyo watu wanainadili matumizi kutoka ya nyumbani na kigeuza ya biashara
 
Hivi ndio jinsi inavyokuwa na inauwezo wa kutengeneza vocha pia
 

Attachments

  • 20241018_135556~2-1.mp4
    36.6 MB
  • Screenshot_20250219-094717_Omada.jpg
    176 KB · Views: 3
Uwongo..
Kuweni makini..
Hakuna kitu kama hicho

Kuweni makini
 
Wakuu Kwa wale mliokuwa mnauliza hii kitu inafanyika jibu ni ndio Sio kitu Cha kufikirika kipo tayari Sokoni na kinafanya kazi Kwa sasa sites zipo dar ila hata mkoani ukihitaji tutakufungia karibuni sana ukiwa na swali la haraka au kutaka uwelewa zaidi nimpigie kupitia 0710186890 au Text me Whatsapp
 
Ikiwa huna uwelewa wa jambo Fulani usisite kuuliza uelekezwe hata kuonyeshwa pia kama unamda tembelea site tulizofunga kama upo dar
Acha uwongo sio mzri.
Tafuta pesa kwa halali mkuu..

Kama kijana usijiwekeze katika kazi ya utapeli mapema hvi
 
Acha uwongo sio mzri.
Tafuta pesa kwa halali mkuu..

Kama kijana usijiwekeze katika kazi ya utapeli mapema hvi
kwenye kila positive things watu kama nyinyi hamkosekani popote duniani nanyinyi ndio mnaosababisha wenye positive vibe kuwa motivated kila sekunde na kufanya zaidi kwaio haunishtui na sina haja ya ku prove kwa maneno ukitaka just call me nikuchukue na nikupeleke site hutaki endelea kukaa nyuma ya keyboard na u spreed negative mindset kila mahali
 
Fanya kazi halali acha utapeli...
 
Childish analysis
1. Kumbuka hapo ulipo kuna established competitors. Mtu ata prefer kununua kwa voda au Tigo ili aendelee kutumia akiwa nje ya eneo hilo. Kumbuka hotspot is confined eneo hilo tu.
2. Kuna maswala ya kodi na tozo, rent, mshahara, vibali from regulator. hujayafikiria.
Elimu yetu ina matatizo
 
Sawa kaka nimawazo yako pia yanafaa kuzingatiwa
Ila tambua hii huduma ipo na inafanya kazi Mteja atachagua kipi sahihi kununua wifi vocha au ya kawaida
Lakini pia Huduma kama inavyoitwa HSP inalenga eneo ni eidha mahali jengo au eneo Fulani lenye mkusanyiko wa watu hii huduma Sio ya kila mtu na Sio ya kila eneo inakusudia eneo lenye mkusanyiko wa watu kama Sokoni,stand,hostel,fukwe na maeneo yanayofanana na hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…