Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

Bado naiona a risk business, hela yako inaweza isirudi.
Lingekuwa eneo halina mtandao wa internet, wewe ukaja na satellite/dish, ningekuelewa
 
Bado naiona a risk business, hela yako inaweza isirudi.
Lingekuwa eneo halina mtandao wa internet, wewe ukaja na satellite/dish, ningekuelewa
Inarudi within 2 up to 3 month Toka uanze mkuu kama unanafasi naweza kuonyeshwa site zilizorudisha hela acha nikupe mahesabu mafupi

  • Site Moja Ina cost around 1,100,000=
  • Kwa bajeti hii system inaweza kuhudumia minimum 20 to 50 per day
  • Mteja mmoja huchajiwa 1,000/= kwa 2Gb per day
  • kama eneo uliopo unaweza kuhudumia minimum 30 customer per day unatengeneza 30,000/=
  • ikiwa eneo uliopo linamzunguko siku Zote 30 za mwezi una 900,000/=
  • Ikiwa eneo uliopo mzunguko wake ni siku 20 kati ya siku 30 za mwezi ni 600,000
  • sasa zidisha mara tatu na ksumbuka system Inakuja na offa ya package Kwa miezi 2 hivo watatu ndio utaanza kumlipa mtoa huduma wa internet


KUMBUKA Haya Sio masimulizi ni ushuhuda Kwa site zilizo Mtaani zinafanya kazi
 
Ndani ya miezi miwili unapata offer ya kiasi gani cha GB kwa mwezi?
 
sawa sawa nimekuelewa

ila nikifanikiwa kukutapeli wewe nakuahidi nitaacha kabisaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Tutapigana...
Nasemaje hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…