Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Bado naiona a risk business, hela yako inaweza isirudi.Sawa kaka nimawazo yako pia yanafaa kuzingatiwa
Ila tambua hii huduma ipo na inafanya kazi Mteja atachagua kipi sahihi kununua wifi vocha au ya kawaida
Lakini pia Huduma kama inavyoitwa HSP inalenga eneo ni eidha mahali jengo au eneo Fulani lenye mkusanyiko wa watu hii huduma Sio ya kila mtu na Sio ya kila eneo inakusudia eneo lenye mkusanyiko wa watu kama Sokoni,stand,hostel,fukwe na maeneo yanayofanana na hayo
Lingekuwa eneo halina mtandao wa internet, wewe ukaja na satellite/dish, ningekuelewa