nundaz
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 272
- 193
Mkuu castro kwema? Nina kama wiki ya 4 tangu nianze gym.naenda kila siku kuanzia saa 4.00 mpka saa 6.00. Umenipa motisha sana. Gym nayohudhuria siyo modern sanaaa kihivyo ila ina vifaa vichache vya kisasa ambavyo uzito wake umepimwa vizuri. Nilishauriwa niwe naanza na bench za kifua na kuupa mwili nguvu.hpa huwa nainua chuma cha kilo 40 zote 2.napiga 10 harafu napumzika dakika 1 mpka round 10. Tatzo langu kubwa mkuu naishiwa nguvu mapema sana.yaani nakuwa na hamu sana ya zoez ila nguvu tu.