Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan unatakiwa ukishafika gym kama una ratiba ya mkono usianze na mkono direct..uanze mazoezi ya warm up kama kawaida,then anza na zile bench press za chest yan kama unafanya mazeozi ya chest..piga zako chest kama kawaida then after 30 minutes of chest bench press anza ratiba ya mkono sasa..na hapo utauhisi mkono umepata nguvu tofauti na awali..Hebu fafanua mkuu
Hapo kwenye support inatoka kwenye bench press pafafanue vizuri
Kwenye mazoezi kuna misuli primary na misuli sekondari.Yan unatakiwa ukishafika gym kama una ratiba ya mkono usianze na mkono direct..uanze mazoezi ya warm up kama kawaida,then anza na zile bench press za chest yan kama unafanya mazeozi ya chest..piga zako chest kama kawaida then after 30 minutes of chest bench press anza ratiba ya mkono sasa..na hapo utauhisi mkono umepata nguvu tofauti na awali..
Point to note: anza na mazoezi ya bicepts kwanza then yafate ya tricepts..na ucweke ratiba yakupiga tricepts na bicept cku tofauti..lazma yajumuishwe siku moja kwa schedule moja..apo utapata matokeo mzuri kwa mda mfupi sana..na kwenye tricepts kuna kujaza tricept na kukata tricepts,make sure ukishajanza unafungua mkono then unaongeza weight ili kuikata tricept yako..mkono utapendeza haswa..
Tukiendelea na hii mada ntapiga picha muuone mkono wangu ulivyo mkubwa wastani lakini upo very attractive..kila kitu kipo kwenye muundo wake..
Yeah well said mkuu..Kwenye mazoezi kuna misuli primary na misuli sekondari.
Kila zoezi unalofanya utakua unaitrain misuli primary lakini effects itaifikia na misuli sekondari.
Mfano ukiwa unajivuta, ingawa utakua unatengeneza wings lakini hadi biceps zitaguswa tena zinaweza zikajaa kama vile umezilenga zenyewe.
Napendekeza mtu anayeanza asichanganye mazoezi ya triceps na biceps kwa siku moja, kwasababu kuna aina nyingi za mazoezi ambayo mtu anaweza akafanya kwa ajili ya biceps tu au triceps pekee.
Nipo break mazoezi (ndiyo maana nimesema mtu asiniquote) sina cha kukuonyesha
Nilichogundua kwa muda niliofanya mazoezi ni kwamba Mazoezi yana tabia kwamba vyovyote utakavyofanya yanakuletea effects.Ingawa mm nlikua nachanganya from day 1 na nlipata matokeo mazuri kwa mda mfupi labda kwa sbb nna nature ya mkono mkubwa..
Duuh upo vzuri mzee baba hahaha...aisee me nshakua mvivu yan..na uvivu unakujaga nikifikiria kuwa nakazia week hili alaf week ijayo inaweza kuwa na possibility ya kubanwa na mishe alaf nisiende tena gym..Nilichogundua kwa muda niliofanya mazoezi ni kwamba Mazoezi yana tabia kwamba vyovyote utakavyofanya yanakuletea effects.
Mfano mimi nikiingia routine ya bench hua nafanya na biceps, kuanzia warm up mpaka namaliza bench,
Pull ups raundi nne, mbele na nyuma
flat bench seti tano, incline seti tano, slope seti tano, centre seti nne.
Dips seti tano.
Pull over seti nne.
Dumbbell curls.
Preacher curls
Hammer curls.
Barbell curls double.
21 barbell curls.
Barbell hammer curls.
Hadi nikisema nianze tena triceps inawezekana nikatumia saa zaidi ya tano
Ingawa kufanya zoezi muda mrefu siyo ku-gain, so mi naona hata ndani ya saa moja na nusu kama uta-train ipasavyo utapata matokeo mazuri kabisaDuuh upo vzuri mzee baba hahaha...aisee me nshakua mvivu yan..na uvivu unakujaga nikifikiria kuwa nakazia week hili alaf week ijayo inaweza kuwa na possibility ya kubanwa na mishe alaf nisiende tena gym..
So huwaga nagusa gusa tu ckuiz nicpoteze nature ya mwili nnaouhitaji bas..ila mbeleni nikitulia aisee ntajiwekea ratiba io nikaze adi nijisahau..
Tena me nmekua mvivu..haswa mazoezi nnayofanya ckuiz nikingia ni warm up kwanza..naenza cheza pushup set nzima,nikafanya pullups za mbele tu,nikavuta mashine kwa uzito wa kawaida kuvuta wings then nianzeNilichogundua kwa muda niliofanya mazoezi ni kwamba Mazoezi yana tabia kwamba vyovyote utakavyofanya yanakuletea effects.
Mfano mimi nikiingia routine ya bench hua nafanya na biceps, kuanzia warm up mpaka namaliza bench,
Pull ups raundi nne, mbele na nyuma
flat bench seti tano, incline seti tano, slope seti tano, centre seti nne.
Dips seti tano.
Pull over seti nne.
Dumbbell curls.
Preacher curls
Hammer curls.
Barbell curls double.
21 barbell curls.
Barbell hammer curls.
Hadi nikisema nianze tena triceps inawezekana nikatumia saa zaidi ya tano
Hahahahaha naona umefocus zaidi kutengeneza mito mtoto alalieTena me nmekua mvivu..haswa mazoezi nnayofanya ckuiz nikingia ni warm up kwanza..naenza cheza pushup set nzima,nikafanya pullups za mbele tu,nikavuta mashine kwa uzito wa kawaida kuvuta wings then nianze
Bench press flat.
Incline bench press
Decline bench press
Napiga dampel za incline kuchana chest hapo ndio nakazia zaidi
Then naua tizi..
Kama nna ratiba ya mkono naendelezea hapo sasa..
Yeah ni kweli..jipe mapumziko ya sekunde 60 tu kwa kila laps utakazoenda..ila kwa chest wataalamu wanainsist uzito mkubwa..yani the bigger the weight you pull the more gainings you acquire..Ingawa kufanya zoezi muda mrefu siyo ku-gain, so mi naona hata ndani ya saa moja na nusu kama uta-train ipasavyo utapata matokeo mazuri kabisa
Ukikosa weight kubwa na nzito.Yeah ni kweli..jipe mapumziko ya sekunde 60 tu kwa kila laps utakazoenda..ila kwa chest wataalamu wanainsist uzito mkubwa..yani the bigger the weight you pull the more gainings you acquire..
Hahah kimtindo tu..huwa mkono cpendeleag maana huwa unakuaga mkubwa zaidi kuliko chest..so cgusag mara nyingi..Hahahahaha naona umefocus zaidi kutengeneza mito mtoto alalie
Pamoja sana chief..Hahahaha pamoja sana mkuu
Siku ya Kwanza Gym? Fanya hivi...Vipi kutengeneza kifua