Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,272
- 1,510
Nahisi kama nimeover exercise mazoez siku ya kwanza so misuli imetight, labda ndo imepelekea mikono kuvimba..sina uhakika na hilo ndo maana nikamuuliza mkuu Castr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi kama nimeover exercise mazoez siku ya kwanza so misuli imetight, labda ndo imepelekea mikono kuvimba..sina uhakika na hilo ndo maana nikamuuliza mkuu Castr
Maumivu yanasikia naponyoosha mkonoJe unasikia maumivu yoyote?
Ulikua umevaa mavazi gani? Ulikua unafanya zoezi gani?Ebwn Castr nisaidie kitu kimoja...nimeanza kupiga gym juz kati, jana nimeamka aisee mikono imevimba katikat kwny maungio hapa...
basi utakuwa umejiover dozz ndo maan huwa wanashauri unapo anza unaanza kidgo kidgo Lengo misuli ikae sawa!! au zamani ulikuwa unafanya ukastop so umeshiistua tena chakufanya hapo usiisikilize inavimba saan bali fanya mazoezi yale ya kunyoosha mikono piga pushapu kidgo kidgo hopeful you will be fineMaumivu yanasikia naponyoosha mkono
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hiyo mikono naizimiaa huwa inawapendeza sana kwenye tishet
Haki tena lakin inatakiwa awe mrefu kiasi halaf kifua hakijaenda mbele hapo mwake,watu wafupi labda wafanye kidogo sana wasijae sanaSema hakyamungu[emoji1]
Yaah kitambo nishawah pigaga chuma nikaacha kwa sababu ya vyuma vyetu hivi vya mtaani vya kujaza kokoto havinaga uhiano sahii, so nikaacha kabisa..Juz kati ndo nimeanza kuingia gymbasi utakuwa umejiover dozz ndo maan huwa wanashauri unapo anza unaanza kidgo kidgo Lengo misuli ikae sawa!! au zamani ulikuwa unafanya ukastop so umeshiistua tena chakufanya hapo usiisikilize inavimba saan bali fanya mazoezi yale ya kunyoosha mikono piga pushapu kidgo kidgo hopeful you will be fine
Basi ingia uzi huuHaki tena lakin inatakiwa awe mrefu kiasi halaf kifua hakijaenda mbele hapo mwake,watu wafupi labda wafanye kidogo sana wasijae sana
Poa,nami nikitaka niwe na tumbo flat nafanyajeBasi ingia uzi huu
Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa
Kuna watu wametupia picha zao utafurahi.
ook i hope umeelewa what i'm talking about so chakufanya endelea kupiga kidgo kidgo ulikosea ulipoacha ungekuwa unapiga hata push up ilikuweka mwili stable so ushauri wangu endelea kupika kidgo kidgo mpka mwil uzoee maan wew na yule ambae anafanya kila cku hamfanani nae usifanye mazoezi utake fanana nae overYaah kitambo nishawah pigaga chuma nikaacha kwa sababu ya vyuma vyetu hivi vya mtaani vya kujaza kokoto havinaga uhiano sahii, so nikaacha kabisa..Juz kati ndo nimeanza kuingia gym
1. Nilikuwa nimevaa tshirt lakin imekatwa mikonoUlikua umevaa mavazi gani? Ulikua unafanya zoezi gani?
Wakati ukiendelea na mazoezi ulihisi maumivu yoyote?
Imevimba huku kuna maumivu au hakuna?
Vazi ulilovaa ni sawa kabisa nilidhani ulivaa nguo ya kubana.1. Nilikuwa nimevaa tshirt lakin imekatwa mikono
2.Nilianza na kuruka kamba, nikapiga push ups, nikapiga dumbell, nikapiga barbell, nikapiga pia bench dips baada ya kumaliza pushups, then nikaja cable pushdown mbele na nyuma, nikamalizia na zoezi la kukàta tumbo
3.Yaah nilihisi maumiv ya mishipa kwa sababu nilitaka nipige lile zoez la kitairi nikashindwa
4.Imevimba na inashindwa kunyooka sawasawa nikijitahidi kuinyoosha nasikia maumiv
Noted MkuuVazi ulilovaa ni sawa kabisa nilidhani ulivaa nguo ya kubana.
Nimefuatilia conversation yako na Ndakushima, alichokuambia mdau ni kifuate hiko hiko hiyo siyo injury so usihofie kabisa.
Ila siyo lazima kupiga push ups kwa lengo la kupunguza maumivu, unaweza ukaendelea na mazoezi yako kwa kupunguza reps na uzito wa mzigo.
mkuu castr hivi nasikia kunyanyua chuma kunatanua moyo kunaleta matatizo ya moyo dah nimetishika maana watu wanasema hivyoVazi ulilovaa ni sawa kabisa nilidhani ulivaa nguo ya kubana.
Nimefuatilia conversation yako na Ndakushima, alichokuambia mdau ni kifuate hiko hiko hiyo siyo injury so usihofie kabisa.
Ila siyo lazima kupiga push ups kwa lengo la kupunguza maumivu, unaweza ukaendelea na mazoezi yako kwa kupunguza reps na uzito wa mzigo.
Samahani nimechelewa kupata notification.mkuu castr hivi nasikia kunyanyua chuma kunatanua moyo kunaleta matatizo ya moyo dah nimetishika maana watu wanasema hivyo
nashukuru mkuu maana kuna jamaa moyo ulitanuka akafariki wanadai chuma maana alijaziaSamahani nimechelewa kupata notification.
Bodybuilders ambao nilisoma walikufa kwa ugonjwa wa moyo ni wale pro ambao walikua wanaabuse steroids na supplements kama mega mass, hydroxycut n.k. hawa hata ukiingia mtandaoni stori zao unazikuta.
Kuna gym nilikua nafanya mazoezi kuna jamaa alikufa kwa kuabuse supplements, alianza kutumia tangu miaka ya 2000 alifariki 2015. Huyu aliunguza ini kabisa.
Hoja yangu ni kua, mtumiaji wa supplements akiwa anaziabuse hawezi kua salama hata iweje na kufanya mazoezi ya vyuma hakukupi hayo magonjwa ya moyo.
Gym niliyopo sasa hivi ina watu walianza vyuma tangu 1990 tangu miaka hiyo mpaka sasa hivi wao ni walinzi wa mlangoni.
Pia kumbuka ugonjwa wa moyo mara nyingi haumpati mtu kama familia yake haina historia ya huo ugonjwa.
Ondoa wasiwasi, mimi nimeanza vyuma 2013 lakini sijawahi kupata shida ya moyo.
Kama ripoti ya daktari ilionyesha chuma ndiyo kimemuua itakua ilimaanisha kua chuma kimebusti ugonjwa wa moyo ambao ulikuepo tangu hapo kabla, na siyo kwamba chuma ndiyo kilisababisha huo ugonjwa kuwepo.nashukuru mkuu maana kuna jamaa moyo ulitanuka akafariki wanadai chuma maana alijazia