Samahani nimechelewa kuona post yako na jibu langu limechelewa.Wakanishuri kuwa push ups huwa zinaufanya mwili kuwa na nguvu sana je ni kweli? Vile vile wakaniambia mchana kabla sijaenda gym niwe nakula ugali mzito nihakikishe nashiba vizuri je ni kweli? Matokeo chanya nayaona ki ukweli kwa wiki hizo 4 ambazo nimefanya zoez serious. Nimeanza kuupenda mwili wangu kwa muonekano wangu unavyobadilika. Naomba unishauri kwa uzoefu wako mlo mzuri ambao naweza kuufata kuanzia asubuhi mpka jioni ili mwili kuwa na nguvu za kutosha! Asante sana mkuu. Umenipa sana motisha nipende zaidi mazoez.
Kama unamaanisha yule mtu ambaye aliwahi kua mnene akapungua ila mikono ikabaki hivyo hivyo au nyama zikawa zinaning'inia.Kwa wanawake wenye mikono minene wanafanyaje ili ipungue?
Ungekua na gym mi ningekua mteja wako. Nahofia kwenda gym zisizo na wataalam mana naweza nikajikuta nimepata matokeo ya bega moja lipo juu na lingine lipo chini, au mkono mmoja mnene mwingine umekonda[emoji4] [emoji1]Mkuu hivi vinafanya ukiwa unashuka nafasi ya kushusha kifua iongezeke hivyo inajenga zaidi kifua kuliko atakayekua sehemu flat kabsa.
Ila kama utakua haushuki chini kama inavyotakiwa itakua ni kazi bure.
Ingia tu, hauwezi kukosa mtu akakuelekeza.Ungekua na gym mi ningekua mteja wako. Nahofia kwenda gym zisizo na wataalam mana naweza nikajikuta nimepata matokeo ya bega moja lipo juu na lingine lipo chini, au mkono mmoja mnene mwingine umekonda[emoji4] [emoji1]
Mkuu kimbau mbau akila vizuri na akaamua kuingia gym kufanya mazoezi ili kutanua mwili..itamchukua muda gani hadi mwili ubadilike..lengo kubwa ni kutanua mwili uwe na muonekano wa kiume unavutua
Mbona kama nilishakujibu somewhere.Mkuu kimbau mbau akila vizuri na akaamua kuingia gym kufanya mazoezi ili kutanua mwili..itamchukua muda gani hadi mwili ubadilike..lengo kubwa ni kutanua mwili uwe na muonekano wa kiume unavutua