Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niko hapa fifi moto obama alikuwa half american
Ada zinanichanganya hatari🙆Siku hizi umefichwa wapi!
Stress za ada unakuja kumalizia hapa, maisha yanaenda!!Ada zinanichanganya hatari🙆
🤣🤣🤣Wewe acha kunidanganya stress zinaisha Kwa kuona wanaenda shule,Stress za ada unakuja kumalizia hapa, maisha yanaenda!!
Wiki ya kwanza sio lazima sana kuingia darasani, waambie madogo wavute subira wiki ijayo wataenda shule😅🤣🤣🤣Wewe acha kunidanganya stress zinaisha Kwa kuona wanaenda shule,
🤣Hii mbinu kumbe ni common......uko poa lakini?Wiki ya kwanza sio lazima sana kuingia darasani, waambie madogo wavute subira wiki ijayo wataenda shule😅
Kakamtu niko poa kabisa dadamtu😅 naamini mwaka umeanza poa!🤣Hii mbinu kumbe ni common......uko poa lakini?